Sidhani kama kuna "msomi" ambaye ziko timamu upstairs anaweza kujiunga na hiki chama. Kama ni kweli ni "wasomi", lazima walipata division five! au walisupp, wakacarry then wakadisco. Na bado wanajiita "wasomi"!
Hivi Bgamoyo ndio kuna wasomi wa chuo cha sanaa?wanaingia kwa qualification gani?Chama Cha Mapinduzi kimeendelea kujiimarisha na kujiongezea nguvu baada ya kuwashawishi wasomi 300 kanda ya mashariki kujiunga na chama hicho na kupokelewa kwa hadhi kubwa katika event iliyofanyika bagamoyo jana ambapo mjumbe wa halmashauri kuu ya taifa ya CCM wilaya ya bagamoyo Ndugu Ridhwan Jakaya Kikwete alikuwa ni mgeni rasmi katika tukio hilo lililoratibiwa na katibu wa wilaya (mkoa maalum wa vyuo vikuu) ndugu Ally Salum Hapi.
wasomi hao kutoka vyuo mbalimbali kanda ya mashariki mkoa wa pwani na dar es salaam wamechukua uamuz huo baada ya kukiri kuwa chama cha siasa kilicho na misingi ya haki na uadilifu ni CCM pekee.
baada ya tukio hilo wasomi hao wameahidi kuwa wajumbe wa Chama katika vyuo vyao kuwafikishia ujumbe wanafunzi wenzao ambao bado hawajafanya uamuz huo makini. Wamesema wanafunzi wengi kwa kutopata ujumbe na taarifa sahihi kuhusu CCM wamejikuta wakifanya makosa kwa kujiunga na vyama vingine vya siasa ambavyo havina mwelekeo wa kimaendeleo wala misingi ya uadilifu.
wachumia tumbo...
Hii post siyo ya kweli!!!.
Kikao kilishindikana kufanyika juzi pale chuo cha sanaa bagamoyo Tasuba. kikahamishiwa jumapili na ukweli tulijipanga kuhudhuria jumamosi kwa kuwa tulishaahidiwa msosi, kofia na matisheti. lakini bahati mbaya sana mambo hayakwenda tulivotarajia hata jana yenyewe. Kaole kwetu!!
Kumbe wanafunzi?!!!!.... Mmmmmh Bange zinatesa watu!Chama Cha Mapinduzi kimeendelea kujiimarisha na kujiongezea nguvu baada ya kuwashawishi wasomi 300 kanda ya mashariki kujiunga na chama hicho na kupokelewa kwa hadhi kubwa katika event iliyofanyika bagamoyo jana ambapo mjumbe wa halmashauri kuu ya taifa ya CCM wilaya ya bagamoyo Ndugu Ridhwan Jakaya Kikwete alikuwa ni mgeni rasmi katika tukio hilo lililoratibiwa na katibu wa wilaya (mkoa maalum wa vyuo vikuu) ndugu Ally Salum Hapi.
wasomi hao kutoka vyuo mbalimbali kanda ya mashariki mkoa wa pwani na dar es salaam wamechukua uamuz huo baada ya kukiri kuwa chama cha siasa kilicho na misingi ya haki na uadilifu ni CCM pekee.
baada ya tukio hilo wasomi hao wameahidi kuwa wajumbe wa Chama katika vyuo vyao kuwafikishia ujumbe wanafunzi wenzao ambao bado hawajafanya uamuz huo makini. Wamesema wanafunzi wengi kwa kutopata ujumbe na taarifa sahihi kuhusu CCM wamejikuta wakifanya makosa kwa kujiunga na vyama vingine vya siasa ambavyo havina mwelekeo wa kimaendeleo wala misingi ya uadilifu.
Tunamwondoa ili akabomoe chama anachokiendea.
Wasomi wa UPE! Msomi wa kweli hawezi kujiunga na CCM kama kweli ni mzalendo!
Tatizo la kusoma madrasa na kuiacha elimu dunia ndicho kilichokufanya ushindwe kuandika kiswahili. soma ulichokiandika halafu ujicheke.
Meku nenda kinondoni kachukue buku tano kutoka kwa ben saanane anakusubiri.ivi JF ina management makini kwel? inakuaje mtu kanywa pombe zake kisha anakuja kupotosha watu?
lazima mpotoshaji apate life au annual ban kama itadhiirika kwa makusudi kaleta mada za kuwapotosha watu,
nakumbuka juzi mtela mwambapa kaleta story ya uongo juu ya kuresign kwa prof Baregu bila kujali ni usumbufu kiasi gan atakuw amemsababishia profesa
JF lzm ilete au ije na mwarubain mujarabu wa kuwakomesha hawa vishoka wa kisiasa
wachumia tumbo mbona wako wazi ni wale vijana wa bavicha wote.wachumia tumbo...
Chama Cha Mapinduzi kimeendelea kujiimarisha na kujiongezea nguvu baada ya kuwashawishi wasomi 300 kanda ya mashariki kujiunga na chama hicho na kupokelewa kwa hadhi kubwa katika event iliyofanyika bagamoyo jana ambapo mjumbe wa halmashauri kuu ya taifa ya CCM wilaya ya bagamoyo Ndugu Ridhwan Jakaya Kikwete alikuwa ni mgeni rasmi katika tukio hilo lililoratibiwa na katibu wa wilaya (mkoa maalum wa vyuo vikuu) ndugu Ally Salum Hapi.