Wonders will never end in this country!eti chama chenye haki na uadilifu?!halafu wanao karirishwa huu upotoshaji wanaitwa wasomi?!tunahitaji kutafuta tafsiri mpya ya usomi kwa kizazi hiki kisicho jisumbua hata kujitambua tu.kunaweza kusiwe na mbadala perfect kulingana na maono na matarajio ya jumla kama jamii lakini ni utovu wa fikra kulitia ubani lililovunda!Chama Cha Mapinduzi kimeendelea okujiimarisha na kujiongezea nguvu baada ya kuwashawishi wasomi 300 kanda ya mashariki kujiunga na chama hicho na kupokelewa kwa hadhi kubwa katika event iliyofanyika bagamoyo jana ambapo mjumbe wa halmashauri kuu ya taifa ya CCM wilaya ya bagamoyo Ndugu Ridhwan Jakaya Kikwete alikuwa ni mgeni rasmi katika tukio hilo lililoratibiwa na katibu wa wilaya (mkoa maalum wa vyuo vikuu) ndugu Ally Salum Hapi.
wasomi hao kutoka vyuo mbalimbali kanda ya mashariki mkoa wa pwani na dar es salaam wamechukua uamuz huo baada ya kukiri kuwa chama cha siasa kilicho na misingi ya haki na uadilifu ni CCM pekee.
baada ya tukio hilo wasomi hao wameahidi kuwa wajumbe wa Chama katika vyuo vyao kuwafikishia ujumbe wanafunzi wenzao ambao bado hawajafanya uamuz huo makini. Wamesema wanafunzi wengi kwa kutopata ujumbe na taarifa sahihi kuhusu CCM wamejikuta wakifanya makosa kwa kujiunga na vyama vingine vya siasa ambavyo havina mwelekeo wa kimaendeleo wala misingi ya uadilifu.
wachumia tumbo...
Chama Cha Mapinduzi kimeendelea kujiimarisha na kujiongezea nguvu baada ya kuwashawishi wasomi 300 kanda ya mashariki kujiunga na chama hicho na kupokelewa kwa hadhi kubwa katika event iliyofanyika bagamoyo jana ambapo mjumbe wa halmashauri kuu ya taifa ya CCM wilaya ya bagamoyo Ndugu Ridhwan Jakaya Kikwete alikuwa ni mgeni rasmi katika tukio hilo lililoratibiwa na katibu wa wilaya (mkoa maalum wa vyuo vikuu) ndugu Ally Salum Hapi.

nakubali lakini sasa unatakiwa ukweli uuseme kwamba kipidi kile ulikuwa mateka wa kamboshi huko simiyu!Hebu tutajie hao wasomi na vyuo wanavyotoka kwasababu kabla ya mimi kuanza kusoma Elimu dunia Nilisoma chuo nikiwa na umri wa miaka 4 yani madrassa huwa tunaita ni chuo
Chama Cha Mapinduzi kimeendelea kujiimarisha na kujiongezea nguvu baada ya kuwashawishi wasomi 300 kanda ya mashariki kujiunga na chama hicho na kupokelewa kwa hadhi kubwa katika event iliyofanyika bagamoyo jana ambapo mjumbe wa halmashauri kuu ya taifa ya CCM wilaya ya bagamoyo Ndugu Ridhwan Jakaya Kikwete alikuwa ni mgeni rasmi katika tukio hilo lililoratibiwa na katibu wa wilaya (mkoa maalum wa vyuo vikuu) ndugu Ally Salum Hapi.
wasomi hao kutoka vyuo mbalimbali kanda ya mashariki mkoa wa pwani na dar es salaam wamechukua uamuz huo baada ya kukiri kuwa chama cha siasa kilicho na misingi ya haki na uadilifu ni CCM pekee.
baada ya tukio hilo wasomi hao wameahidi kuwa wajumbe wa Chama katika vyuo vyao kuwafikishia ujumbe wanafunzi wenzao ambao bado hawajafanya uamuz huo makini. Wamesema wanafunzi wengi kwa kutopata ujumbe na taarifa sahihi kuhusu CCM wamejikuta wakifanya makosa kwa kujiunga na vyama vingine vya siasa ambavyo havina mwelekeo wa kimaendeleo wala misingi ya uadilifu.
Hebu tutajie hao wasomi na vyuo wanavyotoka kwasababu kabla ya mimi kuanza kusoma Elimu dunia Nilisoma chuo nikiwa na umri wa miaka 4 yani madrassa huwa tunaita ni chuo

Mbona hao wako wengi tu au wao ni wasomi zaidi ya Kitila na Zitto?