Nassib nyika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2016
- 962
- 471
Hao sio wasomi bali ni nyuki wasiojielewa wanachokifanyaaLEO TAR 01/02/ 2018
*Kaimu katibu wa Idara ya Vyuo na Vyuo Vikuu* Ndg Daniel Zenda Leo amekabidhi kadi za Wanachama Uvccm 1500 kwa *katibu Hamasa Seneti ya Mkoa wa Dsm* Ndg Juakali kuwanya , Baada ya Mwamko mkubwa wa wanafunzi wa Vyuo Vikuu kuunga mkono na kuvutiwa na Utendaji Uliotukuka wa *Rais John Pombe Magufuli* na Serikali yake ya Awamu ya Tano na kuamua kujiunga na chama anacho kiongoza *Chama Cha Mapinduzi* na Jumuiya zake.
Imetolewa na
Uvccm Seneti Mkoa Dsm.View attachment 688746
''They are opportunity seekers'' Ni mwendo wa Kujikomba kombaHao sio wasomi bali ni nyuki wasiojielewa wanachokifanyaa
Opportunists''They are opportutity seekers'' Ni mwendo wa Kujikomba komba
Ndio maana Tanzania inaendelea kuwa masikini. Mafisadi wanarithishana vizazi kwa vizaziLEO TAR 01/02/ 2018
*Kaimu katibu wa Idara ya Vyuo na Vyuo Vikuu* Ndg Daniel Zenda Leo amekabidhi kadi za Wanachama Uvccm 1500 kwa *katibu Hamasa Seneti ya Mkoa wa Dsm* Ndg Juakali kuwanya , Baada ya Mwamko mkubwa wa wanafunzi wa Vyuo Vikuu kuunga mkono na kuvutiwa na Utendaji Uliotukuka wa *Rais John Pombe Magufuli* na Serikali yake ya Awamu ya Tano na kuamua kujiunga na chama anacho kiongoza *Chama Cha Mapinduzi* na Jumuiya zake.
Imetolewa na
Uvccm Seneti Mkoa Dsm.View attachment 688746
opportunity seekersOpportunists
LEO TAR 01/02/ 2018
*Kaimu katibu wa Idara ya Vyuo na Vyuo Vikuu* Ndg Daniel Zenda Leo amekabidhi kadi za Wanachama Uvccm 1500 kwa *katibu Hamasa Seneti ya Mkoa wa Dsm* Ndg Juakali kuwanya , Baada ya Mwamko mkubwa wa wanafunzi wa Vyuo Vikuu kuunga mkono na kuvutiwa na Utendaji Uliotukuka wa *Rais John Pombe Magufuli* na Serikali yake ya Awamu ya Tano na kuamua kujiunga na chama anacho kiongoza *Chama Cha Mapinduzi* na Jumuiya zake.
Imetolewa na
Uvccm Seneti Mkoa Dsm.View attachment 688746
Vilaza hao wasomi unawajua ww? Watu wanagopa kutekwa na kutoweka
Hao sio wasomi kama ni wasomi basi ni akili mgando.