Hivi selikali yetu ina taalifa na hawa wasomali wanaozidi kuingia hapa inchini? Maana huku kwa Azizi Ali wamejaa kibao na wana zidi kuongezeka, kwa mwendo huu baada ya miaka michache ijayo kutaitwa kwa wa somali na sio Azizi Ali maana nyumba za wenyeji wana nunua wao wenyeji wanaondoka. Lisipo angaliwa hili lita sumbua baadae.
Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums