rosemarie JF-Expert Member Joined Mar 22, 2011 Posts 6,887 Reaction score 3,446 Dec 29, 2011 #1 ee bana nyie jamaa mnamwaribia sana kibonde'yaani kibonde ni mzoefu kwenye hiyo kazi halafu ana kipaji cha kuongea'sasa nyie vilaza wawili mnaharibu kila kitu'sijui nini maana ya nyie kuruhusiwa kufanya kazi na mtu kama kibonde'ovyo sana
ee bana nyie jamaa mnamwaribia sana kibonde'yaani kibonde ni mzoefu kwenye hiyo kazi halafu ana kipaji cha kuongea'sasa nyie vilaza wawili mnaharibu kila kitu'sijui nini maana ya nyie kuruhusiwa kufanya kazi na mtu kama kibonde'ovyo sana
Lupweko JF-Expert Member Joined Mar 26, 2009 Posts 25,195 Reaction score 27,377 Dec 29, 2011 #2 Wapigie simu
rosemarie JF-Expert Member Joined Mar 22, 2011 Posts 6,887 Reaction score 3,446 Dec 29, 2011 Thread starter #3 Jabulani said: Wapigie simu Click to expand... Nipe no zao mkuu tafadhali sana