PreGE2025 Wasira: Katika Afrika hii tuyoijua hakuna Chama kikubwa kuliko CCM

PreGE2025 Wasira: Katika Afrika hii tuyoijua hakuna Chama kikubwa kuliko CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,129
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira ameeleza mambo mbalimbali yanayoifanya CCM kuwa idumu.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Wasira ameyasema hayo leo Juni, 16, 2025 alipokuwa akizungumza na viongozi wa CCM wa Wilaya ya Mbogwe mkoani Geita ambako ameanza ziara ya siku tatu ya kukagua uhai wa Chama, kuzungumza na wana CCM na makundi mbalimbali yakiwemo ya viongozi wa dini, wakulima na wafugaji.
 
Gari Ni Engine Siyo Bodi
Ukweli Amechoka Mzee TOWABU (Toa Wassira Bunda)
 
Wasingetetereka na kaulimbiu ya no Reform no Election kama wao ni chama kikubwa
 
Sasa huo ukubwa kama umeshindwa kuondoa ufukara kwa watanzania una faida gani?🚮
 
Halafu kwanini NI chama ....... kwanini isiwe NI mfumo wa demokrasia km USA.... UK.. hata Kenya ingetosha.
 
Moja kwa moja toka makumbusho ya watu wa kale
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom