tonicimmobility
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 493
- 1,038
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Stephen Wasira amesema wakati wanamuombea kura mgombea urais kwa tiketi ya Chama Dk. Samia Suluhu Hassan, Watanzania ni mashahidi wa kazi kubwa aliyoifanya katika miaka minne na nusu ya uongozi wake.
Akizungumza Septemba 1,2025 katika kikao cha ndani kilichohusisha viongozi na wana CCM Wilaya ya Babati Wasira amesema kwa kuwa tangu Rais Samia amechukua uongozi kutoka kwa mtangulizi Hayati Dk. John Mafuli kuna mambo makubwa yamefanyika nchini.
Soma zaidi: Wanachama wa CCM wanakiri wazi wazi kuwa Wasira na Makalla ni mizigo mizito kwa Chama chao, hawatoshei kabisa
"Wanataka kumuondoa lakini sababu hawana na ukisema nao wapinzani pembeni wanasema lakini nyie wakubwa, mmefanya mambo mengi.Nilikuwa mjumbe wa Kamati iliyoandika Ilani mpya ya mwaka 2025-2030 akanipigia kiongozi mmoja wa chama cha upinzani anasema nimeisoma Ilani yenu mmeandika kila kitu sasa sisi tutaandika nini?”.