PreGE2025 Wasira: CCM iliundwa kuwa Chama cha kudumu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,500
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira amesema chama hicho hakikuundwa ili kuwa chama cha muda bali kiliundwa ili kuwa chama cha kudumu

Akizungumza leo Mei, 28 2025 wakati wa uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa jengo jipya la Makao Makuu ya CCM mkoani Dodoma Wasira amesema “chama chetu kilipoanzisha tuliweka kaulimbiu tunasema kidumu Chama cha Mapinduzi maana yake hakikuundwa kuwa chama cha muda kiliundwa kuwa chama ha kudumu”

"Na viashiria vya kudumu kwa Chama cha Mapinduzi ni kuwa na vijana na kwa hiyo kitakuwa kinadumu kupitia vijana" ameongeza Wasira

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Aidha ameeleza kuwa uamuzi wa kuweka jiwe hilo la msingi ni utekelezaji wa maono ya kuwa na mahali ambapo chama hicho kitakuwa na anuani ya kudumu.

Hii ndagu bado ipo tu
 
Attachments

  • FB_IMG_1747646513450.jpg
    FB_IMG_1747646513450.jpg
    46.5 KB · Views: 21
"Na viashiria vya kudumu kwa Chama cha Mapinduzi ni kuwa na vijana na kwa hiyo kitakuwa kinadumu kupitia vijana" ameongeza Wasira
Mwenyezi Mungu ampe neema ya kuishi, angalau miaka mitano tu. Kwa mwendo huu uliopo chini ya Samia na Genge lake, huyu Mzee "Gari Bovu", hataitambua tena hiyo CCM anayoiongelea leo.

CCM ikikaa nje ya madaraka miaka miwili tu, inasambaratika yote.

Huo muundo wa "CCM Kudumu" anaouongelea limebaki kasha tupu lisilokuwa na chochote ndani yake cha kuwavuta wananchi kuwa chama chao cha siasa, kinachosimamia maslahi ya nchi.

Hizi juhudi kubwa wanazofanya kuwadhoofisha vyama vya siasa vinavyoibuka, ni juhudi za muda tu za kupoza anguko la chama hicho.
Wakati umewadia kwa CCM kudondoka, chini ya uongozi hafifu kabisa wa Samia Suluhu Hassan, mama asiyekuwa na sifa zozote za uongozi wa kisiasa.
 
"Na viashiria vya kudumu kwa Chama cha Mapinduzi ni kuwa na vijana na kwa hiyo kitakuwa kinadumu kupitia vijana"
Wasira kapewa kazi ya kumwondolea heshima katika umri wake huu mkubwa.
Kuipigania CCM hii mbovu kiasi hiki, ni sawa na kujihusisha katika uchafu wa tope; huwezi kubaki na usafi uliokwisha jenga maishaa yako yote.
Sasa sijui ni kitu gani kilicho mfanya akubali kuingia kwenye uchafu wa aina hii!
 
Huyu ancestor kwa umri wake mwili wake haukui, bali unakufa (his body is undergoing negative growth). Kwahiyo ubongo wake unaoza, akili inapotea.
 
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira amesema chama hicho hakikuundwa ili kuwa chama cha muda bali kiliundwa ili kuwa chama cha kudumu

Akizungumza leo Mei, 28 2025 wakati wa uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa jengo jipya la Makao Makuu ya CCM mkoani Dodoma Wasira amesema “chama chetu kilipoanzisha tuliweka kaulimbiu tunasema kidumu Chama cha Mapinduzi maana yake hakikuundwa kuwa chama cha muda kiliundwa kuwa chama ha kudumu”

"Na viashiria vya kudumu kwa Chama cha Mapinduzi ni kuwa na vijana na kwa hiyo kitakuwa kinadumu kupitia vijana" ameongeza Wasira

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Aidha ameeleza kuwa uamuzi wa kuweka jiwe hilo la msingi ni utekelezaji wa maono ya kuwa na mahali ambapo chama hicho kitakuwa na anuani ya kudumu.

Huyu wamemtoa wodini huyu
 
Back
Top Bottom