GE2025 Wasira: CCM hakuna makundi

GE2025 Wasira: CCM hakuna makundi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,129
“Nguvu yetu ndani ya CCM ni umoja, na umoja tunao, CCM iko sawa sawa kabisa, kuna mshikamano wa kutosha, …ndani ya CCM hakuna makundi…”-Makamu Mwenyekiti wa CCM-Stephen Wasira.
 
Huo ndio ukweli!

CCM ikiamua imeamua!ikiakataa imakataa!

Na sasa imeamuliwa eti mchakato haukua sawa!!

He ccm itajipinga!!?

Ngoja tuone!!
 
Muache aendelee kujikaza, ila kwa hizi spana wanazipigwa kila upande, lazima wateme bungo...
 
“Nguvu yetu ndani ya CCM ni umoja, na umoja tunao, CCM iko sawa sawa kabisa, kuna mshikamano wa kutosha, …ndani ya CCM hakuna makundi…”-Makamu Mwenyekiti wa CCM-Stephen Wasira.
Bora angepumzika acheze na wajukuu wake tu. Hivi Mpina, Gwajiboy, Polepole, etc. wako kundi moja na Samia The Killer?
 
Back
Top Bottom