Wasiopata ajira

Wasiopata ajira

KUNDAN

Member
Joined
Nov 30, 2012
Posts
34
Reaction score
9
hivi kwa nini wadau wote tunaotafuta kazi tusiwe na sauti moja? kwa kuwa na chama chetu tukakisajiri .ambapo tutakuwa tunapanga mikakati mbalimbali.mambo mengi na mengi zaidi?onesheni tuanze kazi.hizi habari za tume ya ajira na mfano wa hivo tunaweza kuvimiliki na wakawa wanatii matakwa yetu sio kama hivi wanavyofanya ishu zao kiujanjaujanja tuu. NAWASILISHA.
 
Hili wazo ni zuri, lakini inatakiwa utekelezaji wa hali ya juu. naunga mkono wazo!!
 
hivi kwa nini wadau wote tunaotafuta kazi tusiwe na sauti moja? Kwa kuwa na chama chetu tukakisajiri .ambapo tutakuwa tunapanga mikakati mbalimbali.mambo mengi na mengi zaidi?onesheni tuanze kazi.hizi habari za tume ya ajira na mfano wa hivo tunaweza kuvimiliki na wakawa wanatii matakwa yetu sio kama hivi wanavyofanya ishu zao kiujanjaujanja tuu. Nawasilisha.

uanachama utakoma pindi upatapo ajira
 
hivi kwa nini wadau wote tunaotafuta kazi tusiwe na sauti moja? kwa kuwa na chama chetu tukakisajiri .ambapo tutakuwa tunapanga mikakati mbalimbali.mambo mengi na mengi zaidi?onesheni tuanze kazi.hizi habari za tume ya ajira na mfano wa hivo tunaweza kuvimiliki na wakawa wanatii matakwa yetu sio kama hivi wanavyofanya ishu zao kiujanjaujanja tuu. NAWASILISHA.

Naunga mkono hoja. Ila je kama m1 we2 au wenzetu wengine wakapata ajira inamaana kajichama kanakufa tena???
 
Nitakua Rais wa hiyo Kitu,maana nina machungu sana. l hope waajiri wanatunyanyasa watanyooka.

Naunga mkono hoja
 
Mkuu naona hapa ni watu kusahau walipotoka.
 
ukipata kazi cio active member tenaaaaaaaaaaaa
kwa kuwa kitakuwa ni chama hivo kitakuwa na taratibu zake.kupata kazi sio sababu za kutokuwa mwanachama kumbuka lengo litakuwa kupigania haki za wasiopata ajira.
 
Kitakuwa na michango?

michango haitozidi 2000 kwa kichwa siunajua kuandaa katiba,ila gharama ya michakato inaweza ikawa rahisi tukiamini wadau wengi wana ujuzi tofauti. tujaribu tunaweza.
 
Back
Top Bottom