Wasiojulikana wavunja nyumba mbili Arusha na kuiba millioni kumi

Elitwege

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
5,154
10,809
Watu wasiojulikana huko Ngarenaro mkoani Arusha usiku wa leo wamevamia nyumba mbili na kuzivunja zote kisha kuiba shillingi millioni 10 na kutokomea kusikojulikana.

 
Mwenye Mali kavunja mwenyewe
Kisa kuwakomoa watoto wake,maana
Walikuwa wanamzonga kuhusu Mali
Zake

Ova
 
Back
Top Bottom