Binadamu ni koumbe hatari sana. Huyu jamaa anayemuogopa ni binadamu. Wale wenye kuta ndefu nyumbani na vifaa vya ulinzi nao wanamuogopa binadamu.
Wasiojulikana mataira tu hawana sniperSnaipa anatandika wote hao chap unajikuta umesimama peke yako walinzi wote chali,hata nguvu ya kukimbia hupati wanakuja kukuokota kama kuku mwenye mdondo