Smith Rowe
JF-Expert Member
- Sep 18, 2018
- 4,513
- 9,553
R
Igweeeeeeeee
Salamu tena wana JF
Jumatatu tulivu sana hiii nikiwa maeneo ya moshi napunga upepo huku naperuzi JF
Nawaza tuu watz hatujaona fursa au mbona mlima hupo hapa na unatafuta wafanyakazi wenye nguvu zao
Mlima Kilimanjaro
Njooni msiona na kazi mfanye kazi ya kubeba mzigo kazi tamu sana hii watu wanajenga wanasomesha na wanakula kupitia mlima Kilimanjaro nadhani wiki moja unapokea 200k+
Kwanini tunalalamika hatuna ajira sasa
Mimi nikimaliza six nitakuja kuchuma mtaji wangu kwenye huu mlima
Vigezo ni akili timamu na afya nzuri huhitaji cheti hata cha la saba B huitaji
Chiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii................
Unapojikakamua kufikia sehemu fulani huwa inategemea na uwezo wa kufikiri na shida zinazokuzunguka pia watu hawafanani kwenye kutafuta kila mtu ana njia yake anayoiamini kwenye kutafuta iwe rahisi au iwe ngumu...Igweeeeeeeee
Salamu tena wana JF
Jumatatu tulivu sana hiii nikiwa maeneo ya moshi napunga upepo huku naperuzi JF
Nawaza tuu watz hatujaona fursa au mbona mlima hupo hapa na unatafuta wafanyakazi wenye nguvu zao
Mlima Kilimanjaro
Njooni msiona na kazi mfanye kazi ya kubeba mzigo kazi tamu sana hii watu wanajenga wanasomesha na wanakula kupitia mlima Kilimanjaro nadhani wiki moja unapokea 200k+
Kwanini tunalalamika hatuna ajira sasa
Mimi nikimaliza six nitakuja kuchuma mtaji wangu kwenye huu mlima
Vigezo ni akili timamu na afya nzuri huhitaji cheti hata cha la saba B huitaji
Chiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii................
Asante kwa kutujuza, em nieleweshe hio mizigo inakua ni ya watalii au ni vip, na ajira hio inatoka serikalin au kwa mtu binafsi!?.Igweeeeeeeee
Salamu tena wana JF
Jumatatu tulivu sana hiii nikiwa maeneo ya moshi napunga upepo huku naperuzi JF
Nawaza tuu watz hatujaona fursa au mbona mlima hupo hapa na unatafuta wafanyakazi wenye nguvu zao
Mlima Kilimanjaro
Njooni msiona na kazi mfanye kazi ya kubeba mzigo kazi tamu sana hii watu wanajenga wanasomesha na wanakula kupitia mlima Kilimanjaro nadhani wiki moja unapokea 200k+
Kwanini tunalalamika hatuna ajira sasa
Mimi nikimaliza six nitakuja kuchuma mtaji wangu kwenye huu mlima
Vigezo ni akili timamu na afya nzuri huhitaji cheti hata cha la saba B huitaji
Chiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii................
RelaxIvi wabongo tunakwama wapi uvi kweli ndo unachofikiri hcho??
Sawa mkuuDogo umeandika as if upo kwenye game unapambana kumbe bado umekalia bench la serikali ukiwa na ndoto za kupata 200K per week,siyo mbaya kuota ila subiri utakaporudi kitaa ukutane na show linaoendelea huku ndo utajuwa kwamba hiyo fursa unayoiona hapo haina uhalisia.
Kwahiyo na hii ni siasa mkuuDogo umeandika as if upo kwenye game unapambana kumbe bado umekalia bench la serikali ukiwa na ndoto za kupata 200K per week,siyo mbaya kuota ila subiri utakaporudi kitaa ukutane na show linaoendelea huku ndo utajuwa kwamba hiyo fursa unayoiona hapo haina uhalisia.
Kweli mkuuWabongo ukiwaambia kuhusu biashara wanadondoshea maneno ya mtaji, ukiwapa njia za kupata mtaji wanakudondoshea maneno pia.
Sio kazi rahisi lakini inafanyikaWrite your reply...Unafikiri ni kazi rahisi rahisi karibu dimbani.
Mbona husemi kazi yenyewe!!?Sio kazi rahisi lakini inafanyika
Rudia kusoma tena mkuuMbona husemi kazi yenyewe!!?
Nimesoma vizuri tu nilichoambulia ni Mlima Kilimanjaro kubeba mizigo sijajua mizigo gani!!Rudia kusoma tena mkuu
Mizigo ya wazungu wanaopanda milima mizigo ya aina mbalimbaliNimesoma vizuri tu nilichoambulia ni Mlima Kilimanjaro kubeba mizigo sijajua mizigo gani!!
Nieleweshe fafanua vizuri mkuu.
Nimesoma vizuri tu nilichoambulia ni Mlima Kilimanjaro kubeba mizigo sijajua mizigo gani!!
Nieleweshe fafanua vizuri mkuu.
mtu anasafiri siku 6 mpaka saba anakwea mlima kupumzika amnaUnaweza beba 1. Chakula 2. Gesi 3. Begi la mgeni 4. Hema 5. Kitu chochote kingine. Mwisho Kg 20 ila unaweza bebeshwa ata Kg 28/32