Best Daddy
JF-Expert Member
- Apr 2, 2019
- 950
- 1,680
Show ikiendeshwa na Manara kunakuwa na maujinga kama haya.4. Yuko wapi Ali Kwamwe? heshimuni sana jitihada za huyu kijana.
Sasa hapa kosa la Yanga liko wapi?1. Suala la ratiba, hii ni kichekesho watu wameanza kuingia saa tatu, unakuja kuwatoa saa tano dakika 20 usiku? Siku ya jumapili na kesho ni shule na makazini?
Hawa ni wa kuonea hurumaKichekesho ni one minute of silence kwa Manji katikat ya mchezo wkt ki itifak ingetakiwa liwe katika matukio ya tamasha lenyew
Mimi ni Yanga ila Manara analeta mambo ya kipumbavu wakati anajua tukio hili Kuna watu wametulia kufuatilia anatuletea mambo ya uhuni uhuni.Mfano Habari ya Aziz Ki na Mabeto haya ni mambo ya wasanii huko yeye analeta kwenye mpiraTayari tumewazoea, ila hatukujua kama hamjabadilika.
Hakuna tamasha la Siku ya mwananchi liliwahi tamatika bila vituko, malalamiko au majonzzi katika miaka ya hivi karibuni. Mwanzo tuliamini bado ni wachanga katika matukio makubwa kama haya. Ila umefanya matukio kama haya zaidi ya mara tano kwanini hakuna mabadiliko?
Leo sasa, ukitoa tamasha kuendeshwa kiswahili swahili(very unprofessional) kuna mambo mengi ni ngumu kuelewa.
1. Suala la ratiba, hii ni kichekesho watu wameanza kuingia saa tatu, unakuja kuwatoa saa tano dakika 20 usiku? Siku ya jumapili na kesho ni shule na makazini?
2. Hivi Haji Manara na kundi lake ni kitu gani walikua wanafanya pale? Mazoea au Jeuri, wamevunja protocal nyingi plus unnecessary drama hadi kero.
3. Show kuwa chini ya kiwango, hivi Harmonize amefanyaa show bure? Sijaona zaidi ya washa tochiii.. Marioo nao ni wale wale poor, very poor.
4. Yuko wapi Ali Kwamwe? Heshimuni sana jitihada za huyu kijana.
Na mengine mengi.
Kipi kimekufurahisha au kukukera siku ya leo?
Huko ni kuvuka kiwango cha upumbavu. Very sad hawa watuila leo ya mobeto yamenihuzunisha sana
Kumbe unafatilia YangaHuko ni kuvuka kiwango cha upumbavu. Very sad hawa watu
Uzi wako wa Ki Aziz mahesabu yale tukumbusheHuko ni kuvuka kiwango cha upumbavu. Very sad hawa watu