Wasiliana na MNYIKA kupitia mbungeubungo@gmail.com Simu +255783552010

spencer

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
3,599
3,220
GreaTthinkErs,

Nafahamu tuna michakazto mabli mbali inayoendelea kuimarisha Taifa Letu.

Nimetoa Email na Simu yake kurahisha mawasiliano kwa yule anayehitaji.

Lets Click&dial for Good.
 
Naomba umplekee habari kuhusu matatizo haya ya wnanchi wa Goba

1. Maeneo mengi hakuna umeme
2. Hakuna Maji
3. Barabara yetu ni mbovu

Tafadhali afanyie kazi haya maeneo kama tulivyokubaliana.
 
Nadhani hilo tatizo analifahamu, barabara ile inayoanzia Wazo hill kuja madale kwa Kawawa na Goba ni muhimu sana pia zile za kuunga na Tangibovu, salasala nk ni vizuri aziangalie.

namba ndo hizo, Sema nae
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom