Wasikilizaji wa BBC Swahili

Wasikilizaji wa BBC Swahili

LE GAGNANT

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2011
Posts
1,241
Reaction score
253
KWA NINI WASILIZAJI WENGI WA BBC SWAHILI NI WATANZANI A LAKINI WATANGAZAJI WAKE WENGI NI WAKENYA?

Mkuu wa Idhaa: Solomon Mugera.
Watangazaji waandamizi:
Ali Saleh - Habari
Alex Mureithi - Michezo
Watangazaji:
Idd Seif, Suluma Kassim, Charles Hillary, Mariam Omar, Hassan Mhelela, Peter Musembi, Salim Kikeke na Zuhura Yunus.
Ofisi ya Afrika Mashariki, Nairobi:
Mhariri: Catherine Fellows.
Watangazaji waandamizi:
Caroline Karobia, Josphat Makori na
Noel Mwakugu.
Watangazaji:
John Nene, Ruth Nesoba, Anne Mawathe, Waziri Hamsini, Zainab Deen, Ng'endo Angela, Gladys Njoroge, Robert Kiptoo, Anne Waithera, Dina Gahamanyi, Zawadi Machibya, Ben Mwang'onda na Kamau Kang'ethe.
Wengine ni Muliro Telewa [Kisumu], Wanyama Chebusiri [Eldoret ], Joseph Odhiambo [Mombasa] na Bashkas Jugsoday[Kaskazini Mashariki].
Dar Es Salaam, Tanzania:
Kaimu Mhariri: John Ngahyoma
Waandishi wa Habari:
Abdallah Majura [Dar Es Salaam], John Ngahyoma [Dar Es Salaam], Erick David Nampesya [Mwanza], Ally Saleh [Zanzibar] na Jamhuri Mwavyombo [Arusha], Josepaht Mwanzi [Tanzania]
Uganda:
Joshua Mmali na Siraj Kalyango
Burundi:
Kazungu Lozy na Ismail Misigaro
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo:
Lubunga Byaombe na Patrice Chitera
Rwanda:
Yves Buchana
Comoro:
Abubakar Omar (Mwandishi wa kijitegemea)
Nigeria:
Collins Atohengbe (Mwandishi wa kujitegemea)
Msumbiji:
Emmanuel Camillo (Mwandishi wa kijitegemea)
Afrika ya Kusini:
Omar Mutasa (Mwandishi wa kujitegemea)
 
Ungeonesha sasa, yupi mKenya yupi mTZ.
Baadae yaje maswali yanayohusiana na taaluma, uombaji wa kazinafasi zikiwepo nk.
By the way hata ukiangalia CCN African Journalist of the year award, waKenya wanafanya vizuri zaidi.
 
ungeonesha sasa, yupi mkenya yupi mtz.
Baadae yaje maswali yanayohusiana na taaluma, uombaji wa kazinafasi zikiwepo nk.
By the way hata ukiangalia ccn african journalist of the year award, wakenya wanafanya vizuri zaidi.
watangazaji waandamizi waliopo london ni wakenya wote, ofisi ya makao makuu kanda ya afrika iliyopo nairobi kuna wakenya 13 watanzania 2 ambao ni zawadi machibya na ben mwang'onda.
 
watangazaji waandamizi waliopo london ni wakenya wote, ofisi ya makao makuu kanda ya afrika iliyopo nairobi kuna wakenya 13 watanzania 2 ambao ni zawadi machibya na ben mwang'onda.

That is not the whole story my friend....WAKISTAAFU HAWA Kina Ngyahoma, Hilary, Machibya etc Tanzania ndiyo itakuwa imefutika kwenye media za kimataifa. Sio kwamba nina mtizamo chanya but the new generation of scribes in TZ just puts me off. Kwa sasa utangazaji Tanzania is tantamount to "mipasho" and the like. Hata waigizaji wanakuwa watangazaji kwa bei poa. How do you expect them wavae viatu vya wakongwe kina Othaman Miraji (DW) na Charles Hilary (BBC) to mention but two of my long time heroes???
 
Wakenya wako mbele sana kwenye tasnia ya uandishi wa habari, hata ukifuatilia tuzo za CNN African journalist awards, jamaa huwa wanapata tuzo nyingi sana ukilinganisha na sisi. Kitu kilichonistua kuhusiana na watz wanaosikiliza BBC ni kwamba wana-sympathize sana matukio yanayotukia nchi nyingine kama mauaji na ubakaji Congo DRC lakini wanakuwa kimya au hugusia kidogo tu dhuluma inayofanyika hapa kwetu kama mauaji ya albino na mauaji ya Arusha. Ni kama bado tumelala sana ktk 'paradiso ya nchi ya amani' kiasi kwamba hatufikirii kwamba ya wenzetu yanaweza kutukuta!
 
NIWAJUAO WATANZANIA WALIOPO BBC.


Watangazaji waandamizi:
Ali Saleh - Habari MTANZANIA
Watangazaji:
Idd Seif, Suluma Kassim, Charles Hillary, ......, Hassan Mhelela, , Salim Kikeke na Zuhura Yunus.
Ofisi ya Afrika Mashariki, Nairobi:
Mhariri:.............
Watangazaji waandamizi:
Watangazaji:
, Zawadi Machibya, Ben Mwang'onda.
Dar Es Salaam, Tanzania:
Kaimu Mhariri: John Ngahyoma
Waandishi wa Habari:
Abdallah Majura [Dar Es Salaam] HUYU KATIMKIA DODOMA KWENYE REDIO YAKE YA SPORT, John Ngahyoma [Dar Es Salaam], Erick David Nampesya [Mwanza], Ally Saleh [Zanzibar] na JOHN SOLOMBI.
WENGINEO WALIOPITA KUNA MAREHEUMU KAMBONA MTANGAZAJI WA KWANZA WA BBC KISWAHILI, TIDO MHANDO, MBUNGE WA KONDOA MWAMJUA, SUZANE MUNGI(TBC) NK NK
 
Safi Sana hii list kama ni msikilizaji wa bbc haya majina sio mageni
 
Back
Top Bottom