Wasifu wa Samia Suluhu Hassan

Wasifu wa Samia Suluhu Hassan

Huyu aliyeanzisha huu uzi hana adabu ,mwache Rais wetu na mama yetu .Chapa kazi mama yeye kaona kuolewa tu wenzio wanawaza mambo ya viwanda,maisha ,investment nk wewe kuolewa kuna watu waajabu halafu ukute mwanaume ptuuuu
 
Yaani na wewe uliyesoma miaka ya 90 unajiita wa zamani ?

Wale wa 60s nao unataka wajiitaje ?
Ndio hivo kama sisi wamiaka ya 90 kushuka tulikuwa tunamaliza na hiyo miaka je hao wa miaka hiyo 60 ilikuwaje?Samia kasoma elimu ya watu wazima tu vyeti vingine kafoge, ndio maana anatetea sana waliofoge vyeti kama yeye
 
Huyu inaonekana hata secondly hajasoma,sisi tuliosoma zamani kidogo kuanzia miaka ya 90 kushuka chini Mtu ulikuwa unamaliza shule na miaka 18-19,Sasa Samia kaolewa akiwa na miaka 19,hiyo secondly kasoma lini? kumbe ndio maana anatetea vyeti feki nae ana feki ndio maana mweupe kichwani.
Usichokielewa ni kwamba miaka hiyo Zanzibar walikuwa wanaruhusu wanafunzi kuoa na kuolewa na huku wanaendelea na masomo. Walikuja kuzuia 1984, waliokuwa kwenye ndoa wakapoteza shule.
 
Kama bibi zako bado wapo waulize waliolewa wakiwa na miaka mingapi??
 
Usichokielewa ni kwamba miaka hiyo Zanzibar walikuwa wanaruhusu wanafunzi kuoa na kuolewa na huku wanaendelea na masomo. Walikuja kuzuia 1984.
😁😁 ndo maana suala la aliuejifungua kurudi skonga lilipita kwa kishindo. 😂😂
 
Back
Top Bottom