Wasifu wa Samia Suluhu Hassan

Baba na mama ni kina nani?!
 
Mashallah alianza kuajiriwa akiwa na miaka 17, Allah amembariki na mafanikio makubwa
 
😂😂 ushamjua?
 
Kumbe ndo maana English yake nzuri na ina swagg.
Tofauti na......
 
Mimi sina mengi.

Kiwango cha elimu huwa sometimes kinakupa uwezo wa akili wa mtu.

Kwa yanayoendelea imenilazimu kujiuliza maswali mengi yasiyo na majibu ila mwisho imebidi nianzie kwenye CV au level ya elimu mtajwa hapo juu.

Kama unayo tafadhali weka hapa tuunge doti.
 
umeungwa ujisomee mwemyewe, maisha ni ujanjam sio elimu..
Kuna huyu ana digirii saba na alikufa masikini.....

 
Zero brain
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…