Wasifu wa Profesa Yunus D. Mgaya

ziwekwe zote na za mtafiti aliyeondolewa ili tujuwe lipi yai lipi..................... mi simo!!! ila nina uhakika mtukufu anaye wasiliana na watu wa mbinguni hakosei!!!!
 
Mungu ambariki sana huyu baba... Kipindi kile najiunga na chuo kikuu nikiwa nimekwama ada, alijaribu sana kunisaidia nipate usajili, na yeye ndiye aliyenipa wazo la kulipa instalment moja ya Tsh laki tatu na nusu and from there nilisoma 'bure' mpaka pale mgomo ulipotokea tukatakiwa kulipa ada yote kabla ya kudahiliwa upya... Hi is a tenderhearted person, at least he was for me... Bila hivyo sidhani kama ningefanikiwa kusoma chuo kikuu cha Daslam...
He truly is a tender hearted person. I too am enjoying a certain benefit to date thanx to him.
 
process wa samaki kusimamia tafiti za magonjwa ya binadamu zitakazowasilishwa kwake na maprofessa wa afya, maspecialists na madaktari wa binadamu, azijadili, aangalie mapungufu yake na kushauri marekebisho ya lazima, azikubali au kuzikataa....Nina hofu wala si wasiwasi tena.
 
Kwa mawazo yangu, nafikiri uteuzi huu utakuwa na mchango mdogo sana kwa maendeleo ya NIMR. Prof Mngaya ni mtaalamu mbobezi katika marine science. Amefanya mambo mengi sana katika uwanja huo na kujenga network pana katika uwanja huo. Prof Mgaya amebakiza miezi 6 tu kustaafu. Ina maana ataanza kazi Januari 2017 na kufikia June 27, 2017 atalazimika kuchukua likizo yake ya mwisho kwa mandalizi ya kustaafu kwa mijibu wa sheria.

Mkurugenzi wa taasisi hii kazi zake hasa ni za kisayansi kwenye uwanja wa tafiti za afya ya mwanadamu. Ni lini Prof atapata fursa ya kuisoma na kuielewa NIMR na changamoto zake? Ni lini Prof atapata fursa ya kujiweka vyema kusimama kama mwanasayansi wa upande wa sayansi ya Afya ya Watu na sio samaki na viumbe wa baharini?

Mtizamo wangu, ni kuwa uteuzi huu utampa wakati mgumu sana Prof kutekeleza majukumu yake kama Mkurugenzi mkuu wa NIMR na atajikuta muda mwingi akiwakilishwa katika mambo mbalimbali ya kitaifa na kimataifa hadi atakapostaafu.
Labda ni ukweli kuwa kwa miezi sita ijayo, tutautumia utaalamu wa Prof Mgaya kwa tija ndogo sana, na tutakuwa tumeikosesha NIMR fursa ya kusonga mbele zaidi.

Huu ni mtizamo wangu tu, ambao unaweza ukawa sio wa kitaalamu sana. Nategemea wataalamu katika masuala yahusuyo utafiti katika nyanja mbalimbali kuweza kutusaidia zaidi katika mijadala ya aina hii kwa faida tafiti endelevu Tanzania.
 
Mimi ukiniteua kuwa mkurugenzi wa ofisi yoyote ambapo haipo kwenye fani yangu niliobobea siwezi kukubali. Kila la heri prof, fanya kazi kwa weledi umeaminiwa.
 
Back
Top Bottom