CAMARADERIE
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 4,419
- 1,929
Nadhani sasa tunakuwa too skeptical na (wakati mwingine) tunaacha kutumia busara ya kawaida. Hiyo CV inaonyesha dhahiri kuna makosa mengi ya kiuchapaji. Dr. Mwinyi ni daktari kwa kusomea na ni kweli hakufanya intern (ambayo sio lazima kama wakina Mponda na Pinda walivyotaka kuaminisha watu wakati wakimtuhumu Dr. Ulimboka; unless unataka kufanya clinical practice, yaaani kutibu binadamu). Halafu akasoma na kufanya mitihani uingereza na kutunikiwa FRCP- fellow of royal college of physician, hii ni " bodi" ambayo inakupa utambulisho wa kuweza kupractice medicne UK. Kuhusu utendaji, siwezi kusema atakuwa bora ya waliomtangulia, lakini madaktari wanmkumbuka kuwa ndiye aliyekuwa naibu waziri wakati wa mgomo mkubwa mwa 1995 (kama sijakosea), na alithubutu kwenda kuonana na madaktari ukumbi wa korea na kilichofuatia ni mishahara kuongezeka kwa 100%
MIMI NINAVYOFAHAMU NI KWAMBA DKT MWINYI AMESOMA COMPETENTLY NA NI QUALIFIED PHYSICIAN. Ama kuhusu hii CV sina uhakika ni nani kaichakachua. Kazi yake aliyokuwa akiifanya kabla ya kuanza siasa mwaka 2000 ilikuwa ni Mhadhiri, uhadhiri hauendani na uchakachuaji wa elimu
Toa ushahidi kupinga hoja ya mtoa mada, sio debe tupu- Sawa sawa mkuu, balanced na imetulia sana!, labda tuseme mapungufu yake kiuongozi lakini siamini kwamba elimu yake ina utata hata kidogo!
William.
Inawezekana kama aliingia Azania akitokea nje ya nchi. Kwa kumbukumbu zangu baba yake aliwahi kuwa balozi wa Tanzania huko Cairo Misri. Na ktk kipindi hicho watoto wengi wa watumishi wa balozi zetu walirudishwa Tanzania ktk kubana matumizi ya serikali. Wengi walirushwa madarasa.
Hiyo miaka imeunga, yaani kutokea primary kwenda O-level na kutoka O-level kwenda A-level hakuna gape, kaangalie vizuri, Hata hivyo kama alisomea nje angestahili kuonesha hiyo shule hapa, mbona universities amezionesha.Inawezekana kama aliingia Azania akitokea nje ya nchi. Kwa kumbukumbu zangu baba yake aliwahi kuwa balozi wa Tanzania huko Cairo Misri. Na ktk kipindi hicho watoto wengi wa watumishi wa balozi zetu walirudishwa Tanzania ktk kubana matumizi ya serikali. Wengi walirushwa madarasa.
MIMI NINAVYOFAHAMU NI KWAMBA DKT MWINYI AMESOMA COMPETENTLY NA NI QUALIFIED PHYSICIAN. Ama kuhusu hii CV sina uhakika ni nani kaichakachua. Kazi yake aliyokuwa akiifanya kabla ya kuanza siasa mwaka 2000 ilikuwa ni Mhadhiri, uhadhiri hauendani na uchakachuaji wa elimu
timbilimu watoto wa mabalozi walirudishwa na utawala wa Mwinyi nadhani mwaka 1987 na kweli wengi walienda Tambaza na Azania lakini siyo miaka ya 1983.Inawezekana kama aliingia Azania akitokea nje ya nchi. Kwa kumbukumbu zangu baba yake aliwahi kuwa balozi wa Tanzania huko Cairo Misri. Na ktk kipindi hicho watoto wengi wa watumishi wa balozi zetu walirudishwa Tanzania ktk kubana matumizi ya serikali. Wengi walirushwa madarasa.