Wasifu wa Deo Filikunjombe

Wasifu wa Deo Filikunjombe

Mwana Mpotevu

Platinum Member
Joined
Sep 7, 2011
Posts
3,295
Reaction score
2,505
Kwa uchache

1. Deo Filikunjombe kamaliza shahada yake ya Mass Communication Makerere University Uganda

2. Alikuwa Ripoter wa Radio One na ITV kwa muda mrefu akitumia jina la Deo Haule akiripoti toka Kampala

3. Alijiunga na Jeshi la Polisi na kufanya kazi kwa mwaka mmoja kisha akaacha kazi sababu alipangiwa kitengo cha Habari makao makuu ya Polisi na kufanya kazi chini ya Mohamed Mhina ambaye hana hata degree moja

4. Alipotoka Polisi alijiunga na World Vision kama Communication/ Information Officer na kufanya kazi kwa miaka kama minne hivi akiwa Makao makuu Arusha na baadae akahamishiwa tawi la dar es salaam

5. Alipotoka World Vision akajiunga na MKURABITA ambapo alifanya kazi kwa muda usiozidi miaka miwili akaacha.

6. Baada ya kuacha Mkurabita, akafungua duka lake la electronics lipo Benjamin Mkapa Tower, opposite na Posta Mpya ghorofa ya kwanza. Then akaafungua vituo vyake vya kuuzia mafuta Ludewa na ndipo akaanza harakati za kuingia kwenye siasa na kuchaguliwa kuwa mbunge mwaka 2010.

Need I say More?
 
haogopi na hana ubabaishaji kwa kile anachokifanya
unajua umaskini ndo unawafanya wabunge wababaike na kushindwa kukemea maovu, lakini kama
m2 yuko njema sidhani kama atababaika na lolote...sasa mtoto wa mkulima hata akikabwa na
tonge atakufa nalo... big up deo filikunjombe.
 
anafanya kazi yake vizuri kama mbunge, na sasa hana haja ya kuogopa kufukuzwa ccm kuna sehemu ya kuhamia wale wadilifu wote.
 
:doh:

Maumivu ya kichwa huanza pole pole!!! Ajichanganue toka kundi la walafi, ajiunge na TLP!!!
 
Back
Top Bottom