TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 23,914
- 23,079
I like JF.
Pamoja na kuwa ni mtumishi wa magamba, kuna kitu kimenivutia kwenye historia yake.
Jamaa alitoka shule ya Tech O-level, akasoma HKL Advance including History ambayo hakuwahi soma O level lakini bado akasukumia mabanda mawili na B moja, yaani div 1 point 4. Basi jamaa ni mkali sana!
A level private school, cha msingi huwa ni credit 3 haijalishi za masomo gani. Then unachagua combination unayotakaNi kweli mkuu, Hakusoma HISTORY subject,
kwani ukiwa Technical school unasoma masomo ya ufundi pamoja na
-Mathematics, Chemistry,Geography, Biology, Engineering Science "Physics",English, Kiswahili, na Civics!!
Sasa sijui ni kwa vigezo vipi alienda high school kusoma HKL.
Ally Salum Hapi, CCM, Wa Tabora na mpenda short cut, kila kitu kipo pema kabisa.
Infact kwa dini yake na hiyo tabia ana kila sababu ya kufaulu na kwenda mbali sana kisiasa.
Wa Tabora mwenzangu, changamka ule mapema maana ikifika mwaka 2015 unaweza ujikute huna pa kwenda.
Sasa Mwana sheria mzima anajipendekeza, si ndiyo hawa anawasakama Mchungaji Msigwa?
Hahahahhaaaaa huyu ndio yule SalumNamkumbuka salum anatudanganya tuandamane kwenda kwenye ofisi ya DARUSO kumng'oa kipara..
kwakweli huyu jamaa atakama anajenga hoja ya kitapeli utamkubali.. yaani tulikuja kubaini utapeli wake baada ya kipara kujitokeza na kujibu kila kitu..tokea siku hiyo Salum alipotea vibaya sana..
Mkuu ulipata kusema haya.Kwa CCM iliyopo sasa huyu ndiye anaye wafaa sana, maana anahistoria nzuri sana ya rushwa, ufisadi na fitina, vitu ambavyo ndio ''Operating System'' ya CCM kwa sasa.
Na kwa kuwa anafadhiliwa na mtoto wa Sultani(Ridhwani) basi uwezekano wa kushinda ni mkubwa sana.
Najua huyu Hapi anaungwa mkono na kundi la urais la USULTANI(Membe group) akipambana na Paul Makonda Kutoka kundi la urais la ZILIPENDWA(Sitta group). Bado sijajua mgombea wa kundi la UFISADI (Lowassa group) ni nani.
Ni mambo yaliyo wazi sana kuwa hakuna lolote la maana kwenye uchaguzi wa UVCCM zaidi ya kupigana viti(Mara), kushinikiza kupewa chai(Morogoro), kuhamasishwa kuvuta bangi(Mara), Fujo na matusi(Dar), Kuhongwa chai na vitumbua(Nzega), Maombolezo ya kifo cha CCM(Tanga) nk.
Kaka wewe ni zaidi ya MtabiriSikonge,
Mchungaji mwenyewe povu linamtoka akisikia Mwakalebela 2015 ndo mwisho wake kuitwa Mheshimiwa Mark my word