Wasifu wa Ally Salum Hapi

Kwani umesikia kuwa atachukua nafasi ya Bashite?
 
Alihitimu form six mwaka gani na shule gani..
 
Amani kwa wote...
Natumaini huku wapo wajuvi wa mambo na wanaowajua vizuri viongozi tulionao na hata kuwa na wasifu sahihi wa hawa viongozi!
Mwenye wasifu wa huyu mkuu wa wilaya kinondon Ally Hapi atuwekee hapa tafadhali!!
Ngoja Mimi niwahi kwa Gwajima akanidownlodie material ya huyu DC,maana kuna ka harufu kama na yeye kapitia njia ya Daud Albert Bashite.
 
Sina waswas na elimu ya happi. Nina waswas na unafiki na usaliti wake. Ninaamini kwa aslimia nyingi yupo nyuma ya hili balaa linalomwandama Bashite. Time will tell
 
Ndo huyu aliesema Kinondoni Ina maji ya kutosha hivyo shule za msingi sharti ziwe na vyoo vya kuflash?!
 
Sizonje mradi unatoka Kanda ile hajali kama vyeti vyako vina mashaka
. Halafu siku hizi haka kajamaa kana kihere kama Bashite,kametufungia Container bar ,sijui anadhani ile kitu tukachukue wapi
 
Nchi inaongozwa na national constitution na kwenye katiba hakuna kifungu kinachomlazimisha MTU kuweka CV yake hewan ,Kama anadai CV ya DC atuambie yake IPO WAP au kwao nan aliyeweka CV online ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…