ndalichako nasikia ni TO mara mbili etty advnce and O levell masters and phd yake si ya tanzania kachukulia mbele huko kwa hiyo kigezo cha kumzingua muha yule huna
Siko tayari kukujibu vibaya laiti ungenielewa maana yangu wala usingejibu kwa kukurupuka kaka, Nimehoji hivi nina maana kubwa ni kwamba sa hivi watu wananyimwa mikopo eti kisa mtu amesoma sayansi je wao wamesoma hayo masomo ndo maana yangu sijamzarau mheshimiwa nina muheshimu sana tena sana mimi sijajengwa kwenye misingi ya kumbeza mtu.
ndalichako nasikia ni TO mara mbili etty advnce and O levell masters and phd yake si ya tanzania kachukulia mbele huko kwa hiyo kigezo cha kumzingua muha yule huna
tunasifiaga ujinga,To,to bongo!!!magumashi tu.Wataalam wa sayansi na hisabati tulishawazika,km. akina Newton,Avogadro,Faraday,Arrhenius,N.k wengine ni maboga tu.