Chadema akili zenu fupi sana yaani mtu hata akiwa zuzu mtamwagia sifa zote ilimradi akija upande wenu,tatizo hata hamjiulizi kwa nini kaja kwetu mlivyo mazuzuTwaha Ulimwenge ni bidha adimu,na itachukua kalne mmoja kupata mtu sampuli hii.Hataki quick fix,ila anataka binadamu ajitambue kabla ya kufungua mdomo auganishe ubongo wake kwaza,mimi siyo Mark Antony ila ujumbe umefika.
Du watu mnajua kuchimbua!!!Tumia hiyo link kupata CV yake!
Walijipenyeza humu wengi tu. Balozi Timothy Bandora naye alijipenyeza hadi akawa balaozi wetu nchi kadhaa kumbe hakuwa raia. Wakamshitukia wakampokonya uraia. Nadhani yupo Rwandailikuwaje akafanya kazi ikulu, nasikia aliwahi fanya kazi ikulu wakati wanasema ni raia wa banyamlenge
Generali Twaha Ulimwengu si Mtanzania, ni Mnyarwanda na siamini kama aliomba uraia baada ya kupokonywa.Acha roho mbaya. Jenerali Ulimwengu ni Mtanzania. Hajawahi shiriki udharimu unaotaka kutuaminisha hapa. Unamsingizia mabaya kwa sababu ya misimamo yake ya kutopindisha lugha, akisimama kutoa hoja wenye akili huwa tunatulia kupata madini ghafi. Ana fikra huru, haishi kwenye kibuyu, haelekezwi cha kuandika. Ni msomi mwenye mawazo huru sio mtumwa wa mtu
Kuna kitu kimoja hapo wamekosea kidogo. Ulimwengu na wenzake walipojiunga kuanzisha gazeti walianza na gazeti la Dimba. Hapo naongelea akina Rweyemamu, Shoo, Mbwambo, John Rutayisingwa, nk. Baada ya Dimba ndio wakaongeza gazeti la Rai. Hivyo hawakuanza na Rai bali Dimba na Rai likafuata baadaye. Nakumbuka sana hadithi za John Rutayisingwa (RIP) hasa kuhusu Jamhuri ya Kufikirika ya Mukunyu. Alikuwa akitumia Jamhuri ya Mukunyu kuipiga vijembe serikali ya Tanzania.
Ni Mtanzania, kama hutaki nyamaza au acha. Kwanini unamsingizia mabaya ambayo hajawahi tenda? Angekuwa ameshiriki basi Ocampo angekula naye sahani moja. Acheni kupaka matope watu, kisa wao kukubalikA na kusikilizwa na watu, please, acheni roho mbayaGenerali Twaha Ulimwengu si Mtanzania, ni Mnyarwanda na siamini kama aliomba uraia baada ya kupokonywa.
Generali Twaha Ulimwengu si Mtanzania, ni Mnyarwanda na siamini kama aliomba uraia baada ya kupokonywa.
Ningependa kujua cv ya Jenerali Ulimwengu kwani nimefurahia uzalendo aliouonyesha kuwa pale mahakamani katika kesi ya katiba.
Kitaaluma nilikuwa namtambua Jenerali kama mwandishi sio mwanasheria. nasikia pia alishakuwa mwakilishi wa Tanzania makao makuu ya umoja wa vijana huko Algeria, pia ni mmoja wa vijana waliolelewa na umoja wa vijana wa Tanu na ni muumini mkubwa wa sera za mwalimu nyerere ya siasa ya ujamaa na kujitegemea.
Mauldine CastikoWalipokikosoa chama tawala yeye Ulimwengu na Moulding Castiko mama wa visiwani Unguja "wakasingiziwa" Eti sio RAIA...wakati alishakua "Mbunge wa Taifa",miaka hio...
Mkuu acha kutoa mapovu. Mimi sijasema kuhusu ushiriki wake ama mabaya yake ila nasema kwa kinywa kipana kwamba si Mtanzania. Naweza kuwa nina reservations lakini sijasema. Kitu ninachoweza kusema ni kwamba wakati wa mauaji ya 1994 kule Rwanda, Wanyarwanda wengi waliokuwa Tanzania walishiriki kwa njia moja ama nyingine.Ni Mtanzania, kama hutaki nyamaza au acha. Kwanini unamsingizia mabaya ambayo hajawahi tenda? Angekuwa ameshiriki basi Ocampo angekula naye sahani moja. Acheni kupaka matope watu, kisa wao kukubalikA na kusikilizwa na watu, please, acheni roho mbaya
Wewe ndio unamfahamu kama Mtanzania. Kumbukumbu zangu zinaonyesha kwamba serikali ilipochukua uraia wake hakuomba ili awe naturalized. Mara ya mwisho nakumbuka kusikia kwamba anafanya kazi hapa kama mgeni akitumia kibali.Mkuu, suala ni je ni kweli Ulimwengu hakuwa raia wa Tanzania, kama serikali ilivyotaka kutuaminisha huko nyuma? Nikirudi kwenye hoja yako, unaposema kuwa Ulimwengu ni "Mnyawaranda" unaweza kutusaidia kujua kwanini mpaka leo yupo nchini na anafahamika kama Mtanzania mwenzetu? Wazungu wanasema ... "support your claim". Hebu na wewe tuweke sawa Mkuu.
Kuna raia wa kuzaliwa na raia wa kujiandikisha. Raia wa kujiandikisha kuna haki fulani anakosa tofauti na raia wa kuzaliwa. Haki hizo nimefogeti kidogo.Mkuu, suala ni je ni kweli Ulimwengu hakuwa raia wa Tanzania, kama serikali ilivyotaka kutuaminisha huko nyuma? Nikirudi kwenye hoja yako, unaposema kuwa Ulimwengu ni "Mnyawaranda" unaweza kutusaidia kujua kwanini mpaka leo yupo nchini na anafahamika kama Mtanzania mwenzetu? Wazungu wanasema ... "support your claim". Hebu na wewe tuweke sawa Mkuu.
Povu mnatoa nyie wenye roho mbaya, mmekalia kuwavua uraia Watz wenzenu. Tena bila haya, miongoni waliomuunga mkono Kabila ni Baba wa Taifa, Mwl. Nyerere, mbona yeye hujamtaja. Moja ya tatizo letu kubwa, tukitofautiana na mwenzetu kimawazo, na hasa ukikuzidi uwezo wa kiakili. Badala ya kujifunza kutoka kwake, unavua uraia. Dunia ilitusuta kwa kumvua uraia Jenerali Ulimwengu na kumfanya stateless, wakaona aibu wakamrejeshea uraia wake. Leo nawe unakuja na ujinga ule ule wa kumvua uraia. Kazaliwa Tanzania, kakulia Tanzania, kazeekea Tanzania. Acheni roho mbayaMkuu acha kutoa mapovu. Mimi sijasema kuhusu ushiriki wake ama mabaya yake ila nasema kwa kinywa kipana kwamba si Mtanzania. Naweza kuwa nina reservations lakini sijasema. Kitu ninachoweza kusema ni kwamba wakati wa mauaji ya 1994 kule Rwanda, Wanyarwanda wengi waliokuwa Tanzania walishiriki kwa njia moja ama nyingine.
Ila nafahamu kwamba Kabila aliponyakua madaraka kule Zaïre akishirikiana ana akina Bizima Karaha (Banyamulenge), Generali na Prof. Wamba dia Wamba walikuwa watu wa kwanza kwanza kufika kule.