Mshubi wa Rulenge
Member
- Jan 8, 2015
- 23
- 8
Mhangaza
Ukweli ni kuwa huyu jamaa anatoka ktk kabila dogo la Wasubi, lipo wilaya ya Chato mkoani Geita (zamani mkoani Kagera)
Mhangaza
Mwl. John Pombe Magufuli sounds better.
Namsapoti kwa sababu mkatoliki
he is typically a teacher. Bt he is doing good, he shows patriotic bt as teachers are, he ended up impregnating a geology student udsm.
Elimu hd
Dini:Mkatoliki
Kabila:Msukuma wa ng'wandu kisesa
Kazi :Rais wa awamu ya tano
Una swali jingine?
lake sec sio seminary
maisha binafsi ya magufuli na utendaji kazi wake vina mahusiano gani?
Mhangaza
Kasoma seminary gani? Lake? Mkwawa? Ndo nasikia leo kuwa hizo shule nazo ni seminary!
huoni uhusiano kati ya mtu mwenye maadilu na mtu anayepachika pachika watu mimba tena wanafunzi wake? acha ujitoa ufahamu wewe...Rais mtarajiwa anawezaje kula kavukavu kirahisi hivyo ...hivi lini tutapata Rais mwenye kuheshimu sakramenti ya ndoa?
Watanzania mlivyo wachovu mshalegezwa saiv na magufuli ,kwan huyo ataivunja hayo mambo mabaya wa zeee wa cccm? Mbona mnakuwa wepesi kuvuliwa ngua? Hamfikiliii kabisa huyo kama atatekeleza ilani yao2 ya kuvunja sheria na kutetea chama au mmesahau kikweteee mlimpokea je na ameharibu je? Acheni bhsna mnaudhi sanaaa
Magufuli hajaamua CCM! Alikuepo toka zamani, LOWASA alishawahi kua kiongozi wa CCM ngazi ya Taifa, vyote ni vyama vya siasa kazi ni moja.Lowasa alishawahi kuwa kiongozi CHADEMA au chama chochote cha UKAWA hata kwa saa moja?