COARTEM
JF-Expert Member
- Nov 26, 2013
- 3,598
- 3,644
magufuli ni muhangaza
Mwalaye, namaki
magufuli ni muhangaza
:msela:magufuli ni muhangaza
OLevel..Katoke seminary
Umenichekeshanamsapoti kwa sababu mkatoliki
​Mahali ambapo Tanzania tumefikia tunahitaji rais ambaye ni serious na hana longolongo. He's way better than the other options we have from chama cha mafisadi.Huyu jamaa akichukua nchi tutashika sana adabu. Daaah
Ma Papaa na wapigaji wote kwisha habari.
Honestly simtaki. Lol
Mkuu mimi furaha yangu itakuwa maradufu. Kuna uzi niliandika humu mwezi Desemba mwaka jana nikisema kwa kinywa kipana kwamba Dr. Magufuli ndiye kete ya CCM na ndiye atachukua kijiti, watu wakanishambulia ila nikawahakikishia kwamba ndivyo hivyo. Kuna mmoja akasema haiwezekani nikamwambia atakumbuka maneno yangu na aninunulie mvinyo. Kama atapita basi nitamlazimisha anunue mvinyo.Sijawahi Kupenda Mtu au Kitu Kikaniangusha. Nilianza Nae Na Nitamaliza Nae Nilisema Tokea Mwanzo Kuwa Mgombea Atakuwa Kati Ya Yeye Magufuli au Mwandosya au Muhongo Na Ndoto Zangu Sasa Zinaelekea Kutimia. Najiandaa Kulia Machozi Ya Furaha Dr. John Pombe Magufuli Akipitishwa Rasmi. Ana Sifa Zote Za Kuwa Rais Wa Tanzania.
he is typically a teacher. Bt he is doing good, he shows patriotic bt as teachers are, he ended up impregnating a geology student udsm.
Wakimaliza kupiga kura huyo wanayemchagua asisahau kuja kujisalimisha kwa wazee wa dar es salaam.
Wakuu, kwa mwenye CV ya Rais Mtarajiwa, Dk. Magufuli, please tunaiomba..
===========
kwa lipi.??hawa wazee wa daslamu walipo hakuna maendeleo jaribu kuchunguza,kuanzia kwa young afrika mpka kwa ccm ya kikwete.
Elimu hd
Dini:Mkatoliki
Kabila:Msukuma wa ng'wandu kisesa
Kazi :Rais wa awamu ya tano
Una swali jingine?