Wasifu (CV) ya Dr. John Pombe Magufuli

Mwaka 1975 - 1978 alisoma shule ya sekondari iitwayo Lake Nyanza iliopo Mwanza
Mkuu, naomba mwongozo; kuna wakati alitembelea mkoa wa Kagera na akaenda kwenye shule moja hivi akiwa na masista pamoja na mkewe na akaonesha hadi kitanda alicho kua analala na dirisha alilolibomoa na mkewe akamwambia alipe na akalipa pale pale, mbona siioni hiyo kwenye historia!? Well, niliipenda sauti na haiba ya mama Magufuli, she is so humble, anaongea kwa heshima, kwa vituo tena kwa utaratibu, long live mama Janeth Magufuli
 
Ni hao hao tuliowazoea Lumumba buku 7 wana ID nyingi!
 
Shule ya msingi Sengerema, alifundisha kemia na hisabati.......
 
Halafu usiwe muongo hajawahi kufundisha s/m bali Sengerema Secondary kaanzia kusoma Katoke Seminary kabla hajaharibu ndiyo kuhamia Lake kuna moja hujalisema 1985 ameuza sana samaki akiwa na baiskeli yake aina ya Swala alikuwa mbabe mbabe akijifanya ana misimamo ya kifashasti ila alikuwa ananielewa nilikuwa nikimwambia nitakuzamisha majini anakuwa mpole naishia hapa
 
He is our Hero.. Big President Dr Maguful
 
Mbona hatuoni jinsi alivyo fukuzwa seminari alipotaka kuwa Padre?
 


Ayaaaa. MAMBO GANI tena ya kuanza kumsifia mke wa mwenzio??
Tafadhali bana tuko mwezi wa toba.
 
Kuna mambo mengine umeruka. Alisomea pia katoke seminary kagera
 
Ndio aliwahi kusomea katoke
 
Ile
Ile alidanganya alivyoenda Kule. Si unajua mambo ya magumashi magumashi
 
Mwaka 1983 - 1985 alienda kupata mafunzo ya JKT huko Dodoma katika Kambi ya Makutopola,
Acha Uongo ........ JKT ilikuwa ni mwaka moja tu!

Alikua mbunge wa kawaida kwa miaka mitano yaani 1995 hadi 2000 ambapo baada ya hapo aliteuliwa na Mkapa kuingia kwenye baraza lake la mawaziri,
Acha Uongo ........... kuanzia 1995 mpaka 2000, alikuwa ni Naibu Waziri wa Ujenzi!

Mwaka 2000 hadi 2005 aliteuliwa na mkapa kuwa Naibu Waziri wa Ardhi na maendeleo ya Makazi,
Acha Uongo .......... 2000 mpaka 2005 alikuwa Waziri wa Ujenzi!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…