Wasifu(CV) wa Paul Makonda!

Hello wana jamvi nawaombeni sana mnipatie CV's za Mteule wa Rais kwenye Wilaya wa Kinondoni Paul Makonda.

Napenda kujua hasa pia maisha yake ndani na nje ya siasa.

- Unataka CV ya Rais wa zamani wa Vyuo Vikuu vyote Afrika Mashariki, hahahahaha ungeulizia CV ya Sugu kwanza na Mwenyekiti wako wa Chadema hahahahahaha jamani ukistaajabu ya Musa utaona ya JF unaweza hata kuulizia CV ya Msomi wa Dunia kama Makonda duh!!

Le Mutuz
 

Ukiulizia mwenyekiti wao watajaa mapovu mdomoni.
 

Hilo jibu lilitakiwa lijibiwe na 16 years old sio old man with 56 kama wewe!

Mtu ameuliza wasifu wa DC mpya, wewe unadai wasifu wa Sugu.

Ndo ulivyojifunza namna ya kujibu maswali kwenye hzo degree tatu?
 

Duuuu we kiumbe upooo cv muhimu mdau usiogopeeee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…