Kwani anaishi maisha ya nani? na hayo maisha yanakuhusuje wewe tu mpaka uache hoja inayojadiliwa?No Personal Attack,hiyo hoja inaeleweka na inazungumzika,may be hujui kipi kinaendelea katika hiki nikisemacho,
Wewe ndie mwenye personal Attack,kufikiri kwangu kinape nape na kisheikh ilunga ilunga kusikupe shida sana,
I told him to live his life,asipende sana kuchunguza chunguza maisha ya watu na kuyatangaza yake ni bora zaid ya wenzake,wenzake wanaish maisha yao,kama anakosoa its better kukosoa na kutupa ushahid,maisha ya kuwanga wanga na kutegemea kuziwekea chuki destiny za watu hazifanyi MUNGU kumpa yeye destiny bora,mifano kibao tunaiona humu ndan,
I told him to live his life,
There's no promise of a second time around,
There's no reason
why he shouldn't,everything is up to him,not you
Because i promise he'll regret it bro..
Hv huyu faizafoxy anaga shughuli nyngne kwnye kila thread lazma ukute comments zake za utata.
Kwa sasa ninaona uwezo wa makamba kama wa zitto. Haimaanishi kuwa naungana na hao uvccm bali yawezekana kweli alifeli lakini dakika za mwisho alijitambua
Mzee wa ngano naona umemwaga ngano.Hebu tuambie alimaliza mwaka gani na alitumia jina gani ili twende tukafukunyue Baraza tukishathibitisha tutachangia. kale kaugonjwa ka kutoa habari zisizothibitishwa katika jamvi wengi mnako na sijui lini katakoma. Kuambiwa tu na mtu kuwa kasoma nae sio uthibitisho, mbona hata mimi naweza kusema nimesoma na wewe tukamaliza wote six na ukapata div. one wakati labda uhalisia ulimaliza 7 tena kwa shida na kwamba faida pekee uliyoipata ni kupiga picha na mwl. Mkuu.
| Salutation | Honourable |
| First Name: | January |
| Middle Name: | Yusuf |
| Last Name: | Makamba |
| Constituent: | Bumbuli |
| Political Party: | CCM |
| Office Location: | |
| Office Phone: | |
| Ext.: | |
| Office Fax: | |
| Office E-mail: | |
| Member Status: | Current Member |
| Date of Birth | |
wakuu ningependa kufahamu maelezo (cv) ya mbunge januari makamba.
Kuanzia elimu yake, (na alama alizopata) na maisha yake kwa ujumla.
Na ni sifa gani ya pekee ambayo ilimfanya apate nafasi ya kuwa msaidizi wa j.k (2005 -2010)
Inasemekana jamaa anaandaliwa kuja kuwa president wa Tanzania.
==================
Katika Interview akijibu mwenyewe:
wakuu ningependa kufahamu maelezo (cv) ya mbunge januari makamba.
Kuanzia elimu yake, (na alama alizopata) na maisha yake kwa ujumla.
Na ni sifa gani ya pekee ambayo ilimfanya apate nafasi ya kuwa msaidizi wa j.k (2005 -2010)
Inasemekana jamaa anaandaliwa kuja kuwa president wa Tanzania.
==================
Katika Interview akijibu mwenyewe:
Siogopi Chochote!
January Makamba ajitokeze sasa kujibu tuhuma za kuiba mitihani Galanos Sekondari kidato cha nne.
Hatuwezi kuwa na naibu waziri wa sayansi na teknolojia mwenye tuhuma za wizi wa mitihani karne hii inayohitaji weledi bila kupata ufafanuzi wa kina.
Kuna wimbi la wanafunzi kukimbia masomo ya sayansi na wengine kutafuta mbinu za wizi.Tunazipinga ila katika kukabiliana nazo tunampa uwaziri mwenye tuhuma hizo.
Nahisi Mfalme Juha atakua kwenye kiti cha enzi!
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Mimi nimesoma na JM pale Galanos sec Tanga mwanzoni wa miaka ya tisini. Huyu bwana matokeo yake ya form four yalifutwa baada ya kugundulika aliiba paper. Baada ya hapo baba yake akamfanyia mpango kwenye shule nyingine nadhani Forest. Wezi wa paper ndio leo wanashika nchi unategemea nini? Kama JM ana ubavu abishe.
↑
Usitetee usichokijua. ili ujue nimesoma Galanos headmaster alikuwa Kinala, second mistress alikuwa Mama Msemwa. Matokea yalipotoka January Makamba matokeo yake yalifutwa. Headmaster Kinala alitutangazia parade kuwa alifanya cheating ndio maana matokeo yakafutwa na akaonya watu wenye tabia hizo.
Ninashangaa mtu anasema ni rumour ina maana mkuu wa shule alikuwa anazungumza kwa rumour?
Najua January nitamkamatia wapi.Akipata uwaziri tu ndio nazungumza na waandishi wa habari. Hatuwezi kuongozwa na wezi wa mitihani.