Wasifu (CV) wa Freeman Mbowe huu hapa...

Katiba ya Tanzania inataka mbunge awe na elimu gani?


Siyo swala la Katiba linataka nini kwani hakuna mahali niliposema kwamba chadema wamevunja Katiba ya nchi kukubali kuongozwa na Kiongozi asiye na Elimu, bali nimeshangazwa tu na hiyo hali kwani ni mtu mwenye uwezo mdogo ni ngumu kuleta mafanikio kwenye Chama!
 
Ni kweli inasikitisha lakini profesa nguli aliyeaminiwa alikisaliti chama chake sio kwa vipande thelathini bali kipande kimoja tu cha pesa! Huyu (sijui la saba) ndiye ameshikiria upinzani kwa zaidi ya muongo mmoja na hakuna mtu mwingine aliyekwisha kujitokeza na kutambua uwepo wa vyama vingi, lakini kwa zaidi ya huo muongo ameweza kuyakamata majiji makuu ya Tanzania. Tunapaswa kuwa makini na elimu za wale wanaopasua vichwa badala ya miguu!
 
Leo umeanza Na mtei sasa mbowe ulizani wanaoisoma Namba ni wapinzani namba ata wewe unaisoma kwa kufanya kazi ya kuchafua majina ya watu jua unatenda dhambi ndugu yanini kutenda dhambi mrudie muumba wako utubu watanzania wanajua baya Na zuri siyo kwa kuchafua majina ya watu hapa duniani sote tunapita utakuja kutukana wangapi mitandaoni ili upate cheo Mungu ndio anapanga kama hamna hamna tu usijiangaishe kutukana watu
 
katiba ya chadema inasemaje kuhusu kiwango cha elimu cha mwenyekiti wao? na je katiba ya CCM inasemaje kuhusu kiwango cha elimu cha mwenyekiti wao? Je....Unadhani Kuwa na PhD holder asiyejua hata kuongea Kiswahili fasaha kuwa mwenyekiti ni ishu? unajua maana Ya IQ?
 
Mkuu mimi nina swali...hivi mbowe si aliwai kugombea uraisi...na sheria zinasema mgombea urasi lazima awe na elimu kuanzia degree ya chuo chochote kinachotambulika na serikal...iweje leo useme elimu yake mwisho kidato cha nne.? Ebu nipe majib labda mimi sijui
 


Mafaniko ya chadema siyo brain ya Mbowe hata ukiangalia wkt chadema haina watu walioenda Shule yaani waliopita kidato cha 4 kwa daraja I-II na mpka la III, Mbowe mwenyewe alipata kura chache sana lkn chadema ilianza kunyanyuka na kukubalika baada ya akina Slaa &Co. kuiingia hao ndiyo walioleta mafaniko chadema lkn siyo Mbowe anachokifanya sasa hivi Mbowe ni kutumia tu mafanikio yaliyoletwa na watu waliopita kidato cha nne (I-II mpaka III), lkn sasa hvi wengi wao wameondoka sasa subiria mmonyoko unaokuja!
 
...haioneshi taarifa za kitaaruma,shule alizosoma.Na hii ipo kwenye tovuti ya bunge,wamesahau kuweka au taarifa zake hazijulikani?


CV ya freeman mbowe

Member of Parliament CV


GENERAL
Salutation
Honourable Member picture

First Name: Freeman
Middle Name: Aikaeli
Last Name: Mbowe
Member Type: Constituency Member
Constituent: Hai
Political Party: CHADEMA
Office Location: P.O. Box 3070, Moshi
Office Phone:
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail:
fmbowe@parliament.go.tz
Member Status: Current Member
Date of Birth


EDUCATION
School Name/Location
Course/Degree/Award Start Date End Date Level
Secondary School Secondary Education - - HIGH SCHOOL



EMPLOYMENT HISTORY
Company Name
Position From Date To Date
Bank of Tanzania Bank Officer
 
YAKO IMEKAMILIKA? WEKA TUIONE
 
Hao wanao weka taarifa za wabunge wangejibu hili swali, ila nasikia alisoma kidato cha tano na sita Ihungo, kama hakusoma o level basi hiyo shule ihojiwe
 
Omba na bank statement yake ili tuone kama anahitaji kuandaa CV.
 
mkuu sio ugomvi nataka kujua kama mwenyekiti wangu ameonewa kutowekwa kwa taarifa zake kwenye CV
MTETEZI WA WANYONGE!!!!!!!!!!!!!!!!! , LAKINI SI YEYE MWENYEWE ALIANDIKA HIVYO WW UNATAKA AANDIKE NINI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…