K Karl Marx Member Joined Jan 15, 2014 Posts 13 Reaction score 0 Jan 17, 2014 #1 Kwa kautafiti kangu kadogo nlikokafanya nmegundua kwamba wanawake wenye urefu wa kuanzia ft 5.6 ni warembo na kwenye mambo yetu yaleeee ndo wenyewe Msichana mwenye urefu kuanzia ft 5.5 anitumie private message tuwasiliane.
Kwa kautafiti kangu kadogo nlikokafanya nmegundua kwamba wanawake wenye urefu wa kuanzia ft 5.6 ni warembo na kwenye mambo yetu yaleeee ndo wenyewe Msichana mwenye urefu kuanzia ft 5.5 anitumie private message tuwasiliane.
Deshmo JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 4,820 Reaction score 4,264 Jan 17, 2014 #2 Mwezi mchanga
The Magnificent JF-Expert Member Joined Jan 6, 2011 Posts 2,694 Reaction score 1,250 Jan 17, 2014 #3 Wana K ndefu hao...... Balaa!
Neylu JF-Expert Member Joined May 28, 2012 Posts 2,938 Reaction score 1,847 Jan 17, 2014 #4 Mmmmh......!! Kazi ipoo!!
leroy JF-Expert Member Joined Dec 8, 2010 Posts 1,622 Reaction score 2,220 Jan 17, 2014 #5 Beauty is in the eyes of beer holder
segwanga JF-Expert Member Joined Mar 16, 2011 Posts 2,788 Reaction score 731 Jan 17, 2014 #6 matatizo ya kubalehe haka kajamaa ndo kamebalehe jana msikashangae
Horseshoe Arch JF-Expert Member Joined Aug 10, 2009 Posts 13,402 Reaction score 12,787 Jan 17, 2014 #7 Sio kweli,kama ingekuwa kweli Sultan Kosen (8.3'') ambaye ni mwanaume mrefu kuliko wote duniani sasa asingeoa kale kaandunje (5.8'') 8 88888881(3
Sio kweli,kama ingekuwa kweli Sultan Kosen (8.3'') ambaye ni mwanaume mrefu kuliko wote duniani sasa asingeoa kale kaandunje (5.8'') 8 88888881(3
kwamtoro JF-Expert Member Joined Nov 15, 2010 Posts 4,922 Reaction score 3,244 Jan 17, 2014 #8 Mabata madogo dogo yanaogelea, yanaogelea Katika.........