Wasichana /Wanawake wenzangu

Wanawake wenye sifa hizo kwa kizazi hiki wakumlika kwa tochi! Lakini wanaume wengi huwa tunapenda kupata wanawake wenye sifa tajwa hapo! Je sisi wenyewe tunazo sifa za kuendana na wanawake wenye sifa tajwa?

Mungu ampe kila mmoja kama alivyo au anavyotamani kuwa atakavyokuwa kwenye ndoa. Sio tu kuomba mke bora na wakati wewe mwenyewe huna sifa za kuwa baba bora wala huwazii hata kubadilika kama pengine huna sifa hizo kwa sasa! Usije ukapewa mtoto wa watu mwenye sifa hizo ukamjutisha bure katika maisha ya ndoa!
 
[emoji134] Mkuu unapigilia msumari mahalaa apo duuh....kwahio dawa ya moto ni moto aisee
 
Wakati mwingine tunahitaji wanaume wavumilivu na wenye akili ili kutubadilisha.
Wanaume wavumilivu nao pia wamepungua sana! Unajua kwa mtu anayejielewa huwa anawazia kuwa na mwingine pia mwenye umri wake hasa aliyekaribu naye kwa kiasi kikubwa abehave kikujielewa elewa! Yapo ya kuvumiliana na pia uvumilivu nao huwa una ukomo pale inapokuwa too much!
 
Aise mada nzuri sana mwenye masikio na asikie na mwenye macho na aone.....tatizo kiburi dharau ujuaji n.k na hii inapendeza kama wote me na ke wakafanya hayo
Yeah nikweli ila Tuvumilie tu wanawake
 
Mbona ivo jamani.. Kuweni na imani nasisi basi hio dhana mlojijengea kichwani si nzuri kwa afya na ustawi wa mahusiano
 
Hapo sisi wanawake ndo tunatakiwa kuvumilia wanaume jamani maisha ni kuvumiliana
 
Kama wanawake/wasichana watakao ufuatia ushauri wako,ile kauli ya mke mwema anatoka kw MUNGU itatimia.
 
This is a beautiful thread sis.

Big up sana.

Nice weekend too.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…