Umpate wa hivyo alafu ana msambwanda pia, unakua hutoki ndani[emoji14] [emoji14] [emoji14]
Na baada ya muda utafukuzwa kazi au kufirisika kwa sababu huendi kazini
Kitachofuatia hapo ni huyo mwanamke mwenye tabia za ndoto za wanaume wengi kukukimbia kwa sababu ya UKATA ndani ya nyumba[emoji3] [emoji3]
Wanawake Mungu anawaona jamani