hahahaha ndio maana nikamwambia huyu braza man ni mchafu ila yeye hajajijua kama ni mchafu....
Uchafu
HahahahahaHii mada ya uchafu kama ameweza kuhimili kukaa humu kwa dakika 10 basi uchafu ni asili yake..
Nilitaka ni kujibu mbovu ila naogopa ban😬😬Sasa si hata wewe umepata ujumbe unawza kufua chupi zako kila ukioga au?
Usijifanye ustawi wa jamii, hebu onesha kauli ya udhalilishaji hapo.Jamii forum ni Fursa Sawa kwa wote, Mada za jinsia Fulani hivi ama vile ni udhalilishaji unaokiuka kanuni ya usawa na kuheshimu utu wa watu. Tuanzishe mada zenye mantiki, staha na utu tunapoelekea Uchumi wa viwanda, yusiwadhalilishe Dada zetu ni watu muhimu sana
Mwambie huyoUkiwa unafua chupi zako waambie wakupe zao uwafulie ili hiyo kero iishe.
Sasa tutafanyaje.
Usijifanye ustawi wa jamii, hebu onesha kauli ya udhalilishaji hapo.
Mkuu hujafanikiwa kuchukua walau picha ya hzo ndude zkiwa kweny kambaHabari zenu wadau.
Nimepanga nyumba moja hivi mjinj. Nyumba hii ina masista duu watatu hatari ambao ukikutana nao barabarani lazima zipu ikaze. Yaani ni mademu haswaa!! Lakini wanakasoro moja ya uchafu.
Uchafu wao ni kurundika chupi chafu vyumbani mwao. Kwanini nasema hivyo, maana siku wakiamua kufua chupi wanajaza kamba zote hadi wengine tunashindwa pa kuanika. Chupi zao zinakuwa kama mapambo ya 'father krismas' kwenye kamba.
Nadhani hata zile wanazo vaa siku zao waziweka getoni mwao tu. Lakini ukikutana nao nje, fulu kujinyunyiza unyunyu. Hawa hawana tofauti na jeneza lililopambwa alafu ndani limebeba maiti.
Dada zetu acheni uchafu wa kurundika chupi chafu magetoni mwenu. Mptuuu! Tema mate kule.