Wasichana wanaorundika nguo zao za ndani na kufua kwa pamoja ni wachafu

1545923545322.png

wakianika tena zipitie kwa stail ya huyu jamaa utapata raha duniani
 
Jamii forum ni Fursa Sawa kwa wote, Mada za jinsia Fulani hivi ama vile ni udhalilishaji unaokiuka kanuni ya usawa na kuheshimu utu wa watu. Tuanzishe mada zenye mantiki, staha na utu tunapoelekea Uchumi wa viwanda, yusiwadhalilishe Dada zetu ni watu muhimu sana
 
Usijifanye ustawi wa jamii, hebu onesha kauli ya udhalilishaji hapo.
 
Haihitaji PhD kujua kwamba post za kuidhalilisha jinsia Fulani ni ukosefu wa staha na heshima kwa jinsia husika, kuna hoja na mijadala mingi yenye kujenda na kuwafundisha wana JF badala ya huo upuuzi unaoshabikia. Take time to grow
Usijifanye ustawi wa jamii, hebu onesha kauli ya udhalilishaji hapo.
 
Habari zenu wadau.

Nimepanga nyumba moja hivi mjinj. Nyumba hii ina masista duu watatu hatari ambao ukikutana nao barabarani lazima zipu ikaze. Yaani ni mademu haswaa!! Lakini wanakasoro moja ya uchafu.

Uchafu wao ni kurundika chupi chafu vyumbani mwao. Kwanini nasema hivyo, maana siku wakiamua kufua chupi wanajaza kamba zote hadi wengine tunashindwa pa kuanika. Chupi zao zinakuwa kama mapambo ya 'father krismas' kwenye kamba.

Nadhani hata zile wanazo vaa siku zao waziweka getoni mwao tu. Lakini ukikutana nao nje, fulu kujinyunyiza unyunyu. Hawa hawana tofauti na jeneza lililopambwa alafu ndani limebeba maiti.

Dada zetu acheni uchafu wa kurundika chupi chafu magetoni mwenu. Mptuuu! Tema mate kule.
Mkuu hujafanikiwa kuchukua walau picha ya hzo ndude zkiwa kweny kamba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom