Wasichana wabaya vs Wasichana wazuri

Wasichana wabaya vs Wasichana wazuri

kama WOLPER,WEMA SEPETU,LADY JAY DEE,SHILOLE,SHAMSA FORD WANAKOJOZWA NA KUACHWA ILA WABAYA WANAOLEWA
Nani amekuambia hao ndo wazuri? make up Mkuu na hakuna mwanamke akijikwatua na makeup ni mbaya.

Lin ushaona bibi arusi mbaya?

think bigger
 
Wanawake warembo ni wazuri kwa kugonga tu ila wanawake wazuri ni wazuri kwa kuoa.
Coz naamini hamna mwanamke mbaya ktk ulimwengu huu
Nb: warembo+wazuri
"Wanawake wazuri ni wabaya, kwa sbb ubaya wao umefichwa na uzuri wao"
 
Mnahangaika kama mnataka kutaga....
Jipeni moyo we oa mwanamke kafanana na mjomba ake unashindwa hata kutoka nae kazi kumfungia ndani kama makochi
 
wanawake wazur hawana kisasi pale mtakapo achana ila wabaya wana roho ngumu wanaweza wakalichoma ghetto
 
Back
Top Bottom