Wasichana wabaya vs Wasichana wazuri

Wasichana wabaya vs Wasichana wazuri

Kuheshimu mawazo ya mtu aidha yakiwa mazuri au mabaya hakuhitaji posho. Nimeongea nilichoona nimewaza,sikupendezwa na what so called nageneralize upumbavu,do u think umeongea sawa?,mapokeo ulioyapata kutokana na hoja/swali langu hata mimi nina mapokeo yangu so kuwa mpole.
 
Ahahah hongera mkuu kwa maonO,,,,,, ila sio utakuwa unafata her success only!!!????
sifati mafanikio yake bali kwa mwanamke napenda awe anajua uwajibaki nini kwenye familia tutakayoianzisha,HAUJASKIA JUZI KATI KUNA MWANAMKE TAJIRI HAPA AFRIKA LAKINI ANAMPIKIA NA KUMFULIA NGUO MUMEWE
 
Kuheshimu mawazo ya mtu aidha yakiwa mazuri au mabaya hakuhitaji posho. Nimeongea nilichoona nimewaza,sikupendezwa na what so called nageneralize upumbavu,do u think umeongea sawa?,mapokeo ulioyapata kutokana na hoja/swali langu hata mimi nina mapokeo yangu so kuwa mpole.
Dude honestly sielewi why we keep doing this
Nimekuambia straight forward utakua unawaza upumbavu u just chose to define t in negative way but sikua na maana mbaya na sioni kama nimekudisrespect
Kama u think I have disrespected you basi am sorry but sikua na maana mbaya
 
[emoji119] [emoji119] [emoji119]
 
Mimi nimemwelewa mtoa mada hajamaanisha uzuri wakibinadamu kamaanisha uzuri wa shepu,sura inyee zile si ndio mkuu....
 
[emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji124] [emoji124]
 
Uzuri na ubaya wa mtu ni mtazamo wa muonaji! Hakuna ukawaida wa kujumuisha wazuri na wabaya, mbaya kwako ndio malaika kwangu na kinyume chake! Kila mwanadamu ni sawa, inategemea na mtazamo wako!
Hapo unakikimbia kivuli chako mkuu ila ukweli unabaki kuwa hivyo, wadada warembo wanaponzwa na uzuri wao ktk kuchagua wanaume na kula raha wazimalize wakija kustuka umuri umeshasogea, wanachofanya ni kujizali katoto kamija wanadai kuondoa nuksi mchezo unaisha wanabakia ombaomba na kudungwa hovyo hata na kina Bwakila.
 
Uzuri na ubaya wa mtu ni mtazamo wa muonaji! Hakuna ukawaida wa kujumuisha wazuri na wabaya, mbaya kwako ndio malaika kwangu na kinyume chake! Kila mwanadamu ni sawa, inategemea na mtazamo wako!
Maana hao anaofikiria ni wabaya ndo walioonekana wazuri na wa kuvutia mtu akaamua kabisa aweke ndani sasa sjui thread yake inamaana gani
 
mi mbona mzuri na nimeolewa na tumebarikiwa[emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19]
 
Lazima unatoka kanda ya ziwa esp. MZA

HIIIIIIII YENEYO SHIIIDA SASAAAAAA.....KIASI UKO SAHIHI ILA NILIWAHI KUISHI HUKO NIKAGEZA VIJIMISEMO VYAO.....SEMA NITUPIE VIJIMISEMO VYA SEHEMU GANI UJUWE WATU WANAWEZA KUCHEZA NA LAFUDHI LADHA NA LAHAJA.
 
Hahahaha ulinikumbusha hako kamtindo chao cha kuongeza mo mwisho kipindi hcho nasaka post ya kuingia Butimba TTC those old bad days ohhh thanks God niliikosa ile nafasi
 
Uzuri na ubaya wa mtu ni mtazamo wa muonaji! Hakuna ukawaida wa kujumuisha wazuri na wabaya, mbaya kwako ndio malaika kwangu na kinyume chake! Kila mwanadamu ni sawa, inategemea na mtazamo wako!
well said.
 
Back
Top Bottom