Wasichana wa kindamba

Wana msemo wao kuwa ''Figa moja haliinjiki chungu" jiandae na Mafiga matatu.
 
heeeee...mdogo wangu unataka kuteguka kiuno...hatariiiii hao watu acha kabisa...mhhhh
 
Mmmmmmmm! ndugu hilo kabila, mimi wamenitoa mchozi!
nilikuwa na dada mmoja msomi, niliambiwa kuwa ni watu wa mambo mengi nikabisha, ila kilichonikuta, ni mdada kutiwa mimba na jamaa mwingine wkt yuko na mimi!
hatari sana shehe wangu! ila wako vizuri kitandani. ila kuwa makini sana, kama wapare vile!
 
kwa tabia za kutoka nje ya ndoa, WANDAMBA sare sare maua na WAPARE!
 
Wanalima haooo,ukipika ugali usiku utakula mwenyewe.Any way Mngeta-Mchombe,Mbingu nk wapo poa sana.Tonge na ngodoi,tonge na ngodoi mchuzi haaaa.Mlamu kalia ndili.

Kuwa na watoto kabla ya kuolewa kwao ni dili.Pia kwa vidumu haaaa wataalamu sana
 
Habari zenu wadau,napenda kufahamu sifa za wasichana wa kindamba,maana kuna mmoja nataka kuanzisha mahusiano nae ya kimapenz..Nitashukuru kwa msaada wenu

1. Unaulizia kabila, unataka kutambika..........?? By Nyerere!!

2. Mitandao isiwafanye mkawa wavivu wa kufanya tafiti, kaa nao, jichanganye nao, mwishowe utawajua tu sababu wakati mwingine unaweza ukawa Mpare lakini tabia za Kihehe!! Uanaume ni pamoja na kuweza kukabiliana na kuzimudu changamoto za mahusiano, kumtafiti umpendae wewe mwenyewe na kumjua!! Humu kila mtu atakwambia lake mengine uzushi tu :sad::sad::sad:
 
nyumbani kwao Mofu? dharau ndo wenyewe! ila msome kwanza.
 
hawa sifa yao kuu ni kupenda kula samaki...nasikiaga wanaweza mtia samaki mzima mzima mdomoni kisha miba wanachambulia humo humo mdomoni......

hahahaaa!!! DEMBA you are a true lier! mi nikadhani unawazugnumzia wakerewe bana!

ila hamna binadamu wa hivyo kabisa!
 
Last edited by a moderator:
Wasichana wanajua sana kupika hasa samaki, si wachoyo kiukweli na wanapenda sana ndugu wakiume,na kama utapata shida ya kukwamwa na mwiba wakai unakula wala usiwe na hofu kwani akikushika tu kwenye koo, shida inakwisha, me nna shangazi yangu mndamba wala hana shida, huwa napenda nikiwa nakula samaki awe karibu yangu kwa dharura
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…