Solarpanel
JF-Expert Member
- Oct 9, 2012
- 235
- 38
Jaman habarini za mwaka mpya.sijui ni mimi tu ninae pata shida au na wengine,hawa wasaidizi wa kazi hawapatikani kabisa,hivi nini kulikoni?nasikitika sana watoto wetu watalelewaje kwa staili hii,mimi nilikuwa na mmoja,tumevumiliana kwa mapungufu yetu kwa mwaka mzima na nusu,kaenda krismas hajarudi mpaka leo na hapatikani,.wamama wenzangu na wababa hebu nipeni njia mbadala za kupata mwingine,nimeshatafuta mpaka nadata,nitaacha kazi nilee au nitafanyaje mimi?
Kwa kawaida umri unabadilisha mawazo ya mtu, ukimpata msichana/mdada wa kazi zingatia
1: Motivation ili uzidi kumteka naye aifurahie kazi yake
2: zingatia maelewano/mkataba mloweka.
3: Pia kumbuka kurenew mkataba pale unapogundua msichana ameanza kupata mawazo ya kiutu uzima.
Mfano...kumuongezea mshahara ili aweze kumudu matarajio yake.
i see,,kama hutaweza mlea mwanao mpeleke ustawi wa jamii,hawa wasaidizi wa kazi hawapatikani kabisa,hivi nini kulikoni?nasikitika sana watoto wetu watalelewaje kwa staili hii,
HUyo wa kwako keshaolewa ukiona hivyo. Hata hivyo na matokeo ya shule za kata...hata waliofeli mitihani darasa la saba wanapelekwa huko...housegirl utampata wapi. Jipange tu wewe na mumeo namna mtakavyolea au peleka day care centre.
i see,,kama hutaweza mlea mwanao mpeleke ustawi wa jamii
angalia kwenye blu alafu utafakari kwa makini kwa nini nimesema hivyo..labda ukiri hukumaanisha ulichoandikajaman habarini za mwaka mpya.sijui ni mimi tu ninae pata shida au na wengine,hawa wasaidizi wa kazi hawapatikani kabisa,hivi nini kulikoni?nasikitika sana watoto wetu watalelewaje kwa staili hii,mimi nilikuwa na mmoja,tumevumiliana kwa mapungufu yetu kwa mwaka mzima na nusu,kaenda krismas hajarudi mpaka leo na hapatikani,.wamama wenzangu na wababa hebu nipeni njia mbadala za kupata mwingine,nimeshatafuta mpaka nadata,nitaacha kazi nilee au nitafanyaje mimi?
dah pole sana, funguka usaidiwe upo sehem gan, na mshahara wakuanzia utampa shngapi then mi nnaye kutafutia utanitoa shingapi huku kwetu wapo wavumilivu na watiifu.Jaman habarini za mwaka mpya.sijui ni mimi tu ninae pata shida au na wengine,hawa wasaidizi wa kazi hawapatikani kabisa,hivi nini kulikoni?nasikitika sana watoto wetu watalelewaje kwa staili hii,mimi nilikuwa na mmoja,tumevumiliana kwa mapungufu yetu kwa mwaka mzima na nusu,kaenda krismas hajarudi mpaka leo na hapatikani,.wamama wenzangu na wababa hebu nipeni njia mbadala za kupata mwingine,nimeshatafuta mpaka nadata,nitaacha kazi nilee au nitafanyaje mimi?
asante kwa ushauri,hayo yote nilizingatia,nilimwongeza mshahara alipotimiza mwaka,achilia mbali incentives nyingine pia zinazoeleweka nilimpa,alipokuja alitoroka kwao kwakuwa alitolewa mahari na hakutaka kuolewa kwa nguvu,lakini sasa nahisi kakua kaenda kuolewa kwani nimempa mtaji kwa hela nilizokuwa namhifadhia benki