Wasichana na wavulana wa bongo kutwa nzima mnanunua nguo madukani, mnatoa wapi pesa?

K 4 LIFE

JF-Expert Member
Jul 21, 2015
2,567
416
Wakuu nyie ni mashuhuda hapa bongo kuna wasichana MASISTADUU NA MABRAZAMEN WA BONGO kutwa nzima kuanzia asubuh mpaka jioni utawakuta wapo madukani wananunua nguo na viatu.

Mara wapo maduka ya Posta mara Kariakoo, utawakuta UCHUMI Mlimani city, wao kila kukicha ni kununua pamba tu na usiku wanatimba club.

SWALI: Wanapata wapi pesa za kutanulia hivi? na kazi wanafanya muda gani? maana kuanzia asubuh mpaka jioni wapo madukani tu.

Wakuu mwenye taarifa zaidi atujuze.
 
jiwengavu, mi uwa naenda kama mteja lakini nikitoka hapo narudi kazini.
 
Kwakweli hueleweki
We unajifichaga wapi hadi ukagundua asubuhi hadi jioni wanashinda kufanya shoping,kila siku iendayo kwa mungu
 
Sidhani kama uliwahi kumfuatilia mtu ukakuta ananunua nguo asubuhi hadi jioni, wote mngevunja rekodi. Na hujasema kama kila siku unawaona wale wale! Na kwani ukipita duka la nguo unategemea ukute watu wanasali? Tusijambiane kwenye biashara.
 
Sio vizuri hivyo. Unatakiwa ufurahi kuwa tunatimiza wajibu wetu kama wazalendo ku-improve uchumi wa nchi. Join us my flendi!
 
kuna kitu kina itwa kujipenda sasa mtu anajipenda na anapata hela kwa nini asipende kununua nguo au kuwa sehemu nzuri nzuri .kwani wewe mtoa madaa hukufikiria na huyo mtu alio weka iyo biashara yake ya nguo ulitaka iwe haina wa nunuzi au? swali laki vivu sana ulilo uliza na jibu lake huwez kupata lazima watu wata kushanga na kukuona wa ajabu. tu
 
Sidhani kama uliwahi kumfuatilia mtu ukakuta ananunua nguo asubuhi hadi jioni, wote mngevunja rekodi. Na hujasema kama kila siku unawaona wale wale! Na kwani ukipita duka la nguo unategemea ukute watu wanasali? Tusijambiane kwenye biashara.
kabisa ana jamba
 
daah fanya kazi bro acha kufatilia maisha ya watu.sasa unataka kujua pesa wanapata wapi we si uende ukawaulize!!!
 
WW HUKO KOTE ULIENDA KUFANYA NN KAMA SI KUNUNUA ALAFU MTU HAWEZ KUNUNUA NGUO KUANZIA ASUBUH HAD JION ACHA KUTUDANGANYA
 
Una wivu wa kike wewe!! Wenzio hela wanatafuta...By the way kwani makazini lazima watu waende asubuh hadi jion!!
Siku ingine acha umbea,deal na changamoto za maisha yako sio kufuatilia watu.
 
Back
Top Bottom