Wasichana chungeni

Wasichana chungeni

YASINLIWASA

Member
Joined
Nov 27, 2013
Posts
5
Reaction score
0
Wasichana ---------- vibaya kumbukeni unayemtaka nae yuko namtu anamfukuzia na anateswa kama unavyoteseka.
 
sasa tuchunge nini kondoo, mbuzi, ng'ombe au watu? wengine tupo miji ambayo si ruhusa kuzururisha mifugo...

njoo basi umalizie ujumbe wako bana
 
ni taarifa, unaomba ushauri, au ???? sijakuelewa mkuu..
 
hata cjakuelewa,ebu rudia tena ku-post
 
Kukataliwa kubaya muacheni ababaike
 
na wewe unaemfuata anamtu na anampenda kama unavyopenda wewe
 
Back
Top Bottom