Ty_Vigilante
JF-Expert Member
- Jan 19, 2015
- 2,890
- 2,460
Haaaaaaaaaaah haaaaaaaah...! Hii dunia haina huruma duuuh kweeli hiyo ni phd masai sissyacha tu aku cheat
MIAKA 8?????? UNATAFUTA Phd????
why usimuoe????
ataolewa na utangaaa macho
achana nae huko anakokwenda kwa jamaa yake huyo anaenda kuliwa papuchiKama umesoma nilichokiandika juu pale utakuwa umenielewa still bado mwanafunzi hatuwezi kuchukua hatua za ndoa mpaka mambo ya shule yaishe #masai dada
Nimekutana nae miaka kama nane hv iliyopita ba nipo nae kwahyo miaka yote,hamna changamoto yoyote tata niliyowahi kukutanq nayo