Una haki ya kuuliza lakini inategemea na jinsi unavyouliza.Kama amekuaga na unajua anaenda kuonana na fulani sehemu fulani bado ukileta wasiwasi ni ishara kwamba humuamini kwasababu anao uwezo wa kukudanganya kama ana mipango yake mingine anaweza kuitekeleza vilevile.Wivu ni chachu ya mapenzi mkuu lakini ukizidi inakuwa kero.Lkn hv ni kumfuatilia sana kama mtu anaenda kumcheki mwanaume mwenzangu kweli sina haki ya kuuliza
Lkn hv ni kumfuatilia sana kama mtu anaenda kumcheki mwanaume mwenzangu kweli sina haki ya kuuliza
uko sawa dada sema Mdharau mwiba Mguu huota tende hivyo asiridhike na kumwamini 100% anaweza akapata suprise ya bila kutegemea akaaibika bure na kuonwa -----Punguza wivu mwamini na ujiamini.
Jamani wanajukwaa naomba mnipe mawazo yenu hapa etu ikitokea unamwanamke uko nae in relation anakwambia anaenda kuonana na mwanaume flani walishawahi kufanya nae kazi sehemu flani,unapojaribu kumuuliza anamind yaani kuchukia kabisa hapo kuna ishara gani jamani mawazo yenu nianze kujipanga kwa lolote litakalontokea make nampenda mnooooo !!!please
Kuna mawili hapa
- Kuna kitu anaficha na anaenda nyuma ya mgongo wako.
- Anaona humuamini kwasababu unamfatilia sana.
Nimekutana nae miaka kama nane hv iliyopita ba nipo nae kwahyo miaka yote,hamna changamoto yoyote tata niliyowahi kukutanq nayo