WASHINGTON: Marekani yapitisha Sheria Mpya ya Kivita ya Enzi za Vita vya pili vya Dunia (WW II)

Hili la kutunga sheria kutaifisha mali zote za Urusi duniani linaweza kutuletea vita kubwa sana (WWIII) pamoja na kelele nyingi za Uingereza kuishikiza NATO kupambana directly na Urusi na kuongeza vikwazo zaidi.

Urusi anapesa nyingi sana nchi za Magharibi USA tu kama 650bn USD.

Hiyo LLL siyo issue kubwa kivile sababu USA angepeleka silaha hizo anyway. Isaidia makampuni yake makubwa ya silaha, kuuza silaha zao za kizamani, mkopo mkubwa kwa Urusi utakaoifanya iwe na leverage kubwa kwenye serikali ya Ukraine.

Taira kweli ww ivi elimu yako imekusaidia kweli
Brother acha matusi, hoja haipigwi rungu rather prove him wrong with fact
 
Hii vita haitoisha leo wala kesho kwa mtindo huu.
Hii comment yangu itabaki hapa, milele hivyo nasema kwa vizazi vijavyo kwamba "nilikuwepo kabla ya vita ya tatu ya dunia kuanza."
 
Hujui hata Ukraine historia yake, Kiev ndipo Russia ilipoanzia Viongozi wengi, Oligarchs wana asili mbili za Urusi na Ukraine.

Somalia, Iraq, Syria, Libya, Lebanon zote hazitawiliki. Unalinganisha na Russia. Kuna utani hapa.
Viongozi gani wa Russia hao walioanzia Ukraine.
 
Tunaweza kuchangia angalau 40% ya bajeti ya UN ili makao makuu yawe Dar Es Salaam?! Kumbuka china alipoomba kufidia tu gap la mchango wa US kwa kataasisi kamoja tu WHO alikunja mbawa, haya fikiria UN bila mchango mkubwa wa kibajeti Marekani je nani ataweza kutoa hizo pesa?!
Hatutaki UN inayochangiwa kwa kiasi kikubwa na nchi moja. Na hilo ndio tatizo kubwa ktk kitenda haki. Inabidi ifumuliwe na kusukwa upya na nchj zote zilipe fees iliyo sawa
 
Kwa hiyo sheria usifikiri Ukraine anapewa silaha bure! Ukraine itaingia kwenye shimo la madeni kiasi kwamba deni hilo litawatesa Waukreni vizazi hata vizazi.
Wakat wa WW2 sheria hilo ilipitishwa kuisaidia Soviet kumpiga Hitler wa Ujerumani US ikaipa silaha Soviet iliwachukua miaka 61 kumaliza kulipa deni.
Asikudanganye mtu,US haitoi kitu bure!
Zelensiky akisaini mkataba huo ameiuza Ukraine.
 
Kwa hiyo sheria usifikiri Ukraine anapewa silaha bure! Ukraine itaingia kwenye shimo la madeni kiasi kwamba deni hilo litawatesa Waukreni vizazi hata vizazi.
Wakat wa WW2 sheria hilo ilipitishwa kuisaidia Soviet kumpiga Hitler wa Ujerumani US ikaipa silaha Soviet iliwachukua miaka 61 kumaliza kulipa deni.
Asikudanganye mtu,US haitoi kitu bure!
Zelensiky akisaini mkataba huo ameiuza Ukraine.
Pale unampomsikitikia Ukraine kubeba mzigo mkubwa wa deni kwa ajili ya kujitetea na kulinda Nchi yake lakini ukashindwa kuuona mzigo mkubwa wa deni la Nchi yako ambao umeubeba mabegani kwako,au umesahau kama nchi yako ina deni ambalo hadi vitukuu vyako vitakuja kulilipa?
 
Lazima watu wafe ili heshima iwepo. Hata Jiwe ilibidi afe utukufu wa Mungu uonekand
Jiwe aliiwa mpaka mungu, wakasema Mungu ndo amshukuru jiwe na sio jiwe kumshukuru Mungu. Mara jiwe ni zaidi ya Yesu na Muhammad, kwa kweli kifo chake hakikunishtua wala kuniumiza hata kidogo.
 
Back
Top Bottom