fasiliteta
JF-Expert Member
- Jul 2, 2014
- 2,598
- 4,472
Kumbe Aje ndo ngoma ya kwanza ya kiba eeehh.Hahahahaa acha tucheke tu.mwenzao kazizungusha vbaya tena kwa mwaka wa4 mfululizo
We jamaa utakua , unawashwa si bure, nani kasema ali aje ndo kaimba, hapa tunasema ...tuache ubogasi hawa wote vijana wa KITANZANIA, wanapopata mafanikio kimtaifa ni hadhina yetu sote , kama watanzania ...so we need to respect them as our ICON, all of them ......Hahahha mi hua Nacheka tu.Kumbe mmekubali wenyewe tangu jamaa anaimba muziki hyo AJE ndo kaimba Eeeeeehhh na zingine ilikua uharo tu.Sasa mwenzenu Mondi huko duniani unaendea mwaka wa4 mfululizo anakinukisha tu.Muda mwingine muwe mnakubali kuwa chini ili mpate mipango ya kupanda juuu.Bila kuwasema na ule uchafu sijui Lupela,mara mwana Dsm,mara sijui kina cheketua kua mlikua mnacheza tu leo mkaenda kutengeneza video nzuri mngetokaaa
Ningekuwa mnafiki nisingemuweka kabisa kwenye list ya washindi. Ningesubiri team yake wamuweke.naona mnaumia , sana jamaa kuchukua tuzo na ndo maana ukamfanyia figisu hata picha yake haukuiweka , thanks kwa mods wameona unafiki wako....unasahau jamaa wote ni watanzania na wameshinda kimataifaa
Tena jamaa kasimama peke yake na kachukua tuzo.....
mbona haukuweka picha yake mwanzo kama we si munafikuni?Ningekuwa mnafiki nisingemuweka kabisa kwenye list ya washindi. Ningesubiri team yake wamuweke.
kwa sasa hauwezi mzee me ndo niyeipost mods wakaieditKama ni unafiki basi si hata sasa hivi ningeitoa.
collabo kumbe zinasaidia samtaimu, hongera kiba, one man army
Hater #1Ila mimi binafsi huwa huwa sio uzuri wa "Aje"
kiasi cha kuchukua tuzo za kimataifa, Aje ni ngoma level za tuzo za EATV awards.
mkuu unajua maana ya sometime au unataka battle tu1mkuu...!
Hapa Collabo ilimsaidije Huyu mzee wa HAT TRICK?
3 AFRIMAWARDS ( nominated song UTANIPENDA )
au kwenye huo wimbo alimpa Collabo huyu K wenu?View attachment 451704
Mm ndo kabsa, Sion chochote ndanimweUpo sahihi kabisa. Hata mimi sioni uzuri wowote wa huo wimbo
Cha kuelewa hapo ni kuwa kura ndiyo zinaamua na wapiga kura wametaka iwe hivyo ukitaka kufuatilia tuzo za kiafrika utaumiza kichwa bureBest African Male Video- Kidogo
Best East African Video- Aje
Sasa hapo napata ukakasi kwanini Kidogo iizidi Aje katika video bora Africa lakini inashindwa kuizidi Aje katika video bora Africa mashariki? Kwani Kidogo pia si inatoka East Africa?
Embu niwekeni sawa ,hivi inakuaje Kidogo inakuwa wimbo bora Africa lakini si wimbo bora Africa mashariki?
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Mkuu unaona ww? bila collabo hakuna kituMmoja naona kabebwa na kolabo ila ongera zao
Hhaaha ya kaisari mpe kaisari, nyimbo mbovu wakati imebeba tuzo mbili? tena ya best rnb n.k acheni chuki bwana hv umenoti hapo kwa simba wenu hawezi one man show? bila kina aka na psquare asingeshindaUpo sahihi kabisa. Hata mimi sioni uzuri wowote wa huo wimbo