Si deception tu,kuna wengi sanaKutokumuona Deception hapo (kwenye list) itakua hizo tuzo mulipeana wabana pua tu.
Hakuna mwenye michango yenye faida kwenye jumba hili kama Deception.
Wabongo bhanaSi deception tu,kuna wengi sana
Mkuu usiutathimini huu uzi seriously,
Dogo simply alitaka watu wajue kuwa yeye ni underground bora hakuna cha ziada
Sishangai ulichojaribu kufanya, kwani kazi kubwa ya Bitoz ni nini kama sio kujipaisha....haya ona mfano hii iliyokaa kitaalamu zaidi, Bitoz :Majungu mengi ngoja nifute hiyo ili nione mnalalamikia nn
Kura hamjapiga ila kelele nyingi km kasuku + generator
Mkuu kilichofanyika ni kura tu wala sio KITAALAMU....sikuwataja watu Fulani ili wagombee kipengele Fulani sababu kelele zingejaa badala ya watu kupiga kuraSishangai ulichojaribu kufanya, kwani kazi kubwa ya Bitoz ni nini kama sio kujipaisha....haya ona mfano hii iliyokaa kitaalamu zaidi, Bitoz :ost 1464, likes:529 ,ratio: 2.7, Mtaalamu123
ost147, likes:123,ratio: 1.2.....hapo ukiwa ume join Aug 27,2015 ikiwa mimi ni Oct 15, 2015 (fair comparison), tafsiri yake ni kuwa umepost mengi wakati machache ndio yamepata appreciation wakati Mtaalamu123 nina almost like moja kwa kila post moja, unawezaje kujiita underground bora, sio kwamba nahitaji hiyo award (ukizingatia hata sio award kiuhalisia) ila najaribu kuonesha kwa mfumo wa JF huhitaji kupiga kura wakati numbers zipo, ni suala la hesabu tu kama ligi za mpira, no ugomvi!
Heri ww hao wengine povu tu km kopo la komoni...nimeedit sehemu ambazo kura zimelingana nimeweka NO WINNERNimefurahi kumuona popoma langu GENTAMYCINE akiibuka kinara katika vipengele vingi.
Hongera zake.