Washindi BBS mbona doro? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Washindi BBS mbona doro?

Discussion in 'Celebrities Forum' started by mataka, Jun 9, 2011.

 1. m

  mataka JF-Expert Member

  #1
  Jun 9, 2011
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 287
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Mi nimfuatiliaji mkubwa wa bss, tokea ilivyaanzishwa tatizo ninaloliona washindi wa bss sio makini hawatoi vitu vipya kuanzia j4 mpaka huyu mariam, kunani? Mbona kimya au fani zenu kuiga nyimbo za wenzenu tu? Mbona nyinyi hamuwiki kama pop idols wa marekani au tusker project fame? Tatizo liko wapi? Au shida yenu mtoke kupitia zawadi na si kutoka kimuziki? Tatizo lipo kwa washiriki wenyewe au waandaaji? Manake wakitoa kawimbo kamoja tu kimya. KULIKONI? Tusaidiane katika hili
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Jun 9, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  yote hayo tisa

  kumi shindano likianzishwa tena,
  unashangaa wale wanaoambiwa hawajaingia kumi bora
  wanavyo react kama wanakwenda jela
  au wale wanaoambiwa wamepita wanavyoshangilia utasema ndo mwisho wa matatizo yao

  kumbe hata ukishinda bado hakuna lolote.....
   
 3. Rubi

  Rubi JF-Expert Member

  #3
  Jun 9, 2011
  Joined: Oct 5, 2009
  Messages: 1,623
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  wanatafuta maisha wakishinda wanaendelea kufanya mambo mengine sio kuimba, maana wanaowiki naona hawapiti BSS.
   
 4. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #4
  Jun 9, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Tena yule wa mwaka jana ndio hasikiki kabisa.
   
 5. only83

  only83 JF-Expert Member

  #5
  Jun 9, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  ....Yale mashindano yenyewe yapo chini sana...wale majaji sio wataalamu wa muziki isipokuwa ni washabiki wa muziki...tutegemee hali hii miaka yote.
   
Loading...