Washauri hawa watoto kwa neno 1

Washauri hawa watoto kwa neno 1

weed

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2012
Posts
2,458
Reaction score
3,586
16583333_1769981363329438_6379292294566117376_n.jpg
 
Mitama,mateke,ngumi,virungu,kichurachura,na kujigaragaza kwenye matope viko njiani kuwashukia
 
Hahaaaa aliyewaingiza choo cha kike ni mpiga picha...
Hawa madogo inawezekana hawajui kusoma mpiga picha ndio kachana mkeka
 
WAKAE TU MAANA WAMEPIGWA PICHA, HAWAJAPIGA PICHA KAMA TANGAZO LINAVYOKATAZA. KAZI IPO KWA ALIYEPIGA PICHA
 
Naona wameandika wao hilo tangazo.
Mbona hakuna alama ya jeshi?
Kwa kweli mimi sio mwenyeji huko ila ninavyoju jua ilani huwa zinakuwa na alama
 
Back
Top Bottom