Kutokana na habari za kuaminika nilizozipata ni kuwa Sitta ameshindwa kuhudhuria ibada katika usharika wake tangu bunge la katiba la ccm limalizike. Hata hivyo, kutokana na chanzo changu cha habari ni kuwa, washarika wamemtuma mchungaji ampelekee ujumbe Sitta kuwa kutokana na vitendo vyake vya kudharau viongozi wa kanisa, Sitta hatakiwi aonekane hapo kanisani
Unanikumbusha viboko vilivyotembezwa pale msikitini korogwe ili kuwaondoa mamuruki. Sijui ilikuwaje Mungu akaruhusu bakora kuingia msikitini!
huyu sitta hafai kabisa labda aanzishe kanisa lake na mke wake labda
huyu sitta hafai kabisa labda aanzishe kanisa lake na mke wake labda
Mkuu, tena hawezi honga waamini wote, atakachofanya ni kumhonga huyo waliyemtuma tu basi mambo yakaisha kwani kwenye BMK si walikuwemo wa aina hiyo?Wakihongwa kiasi kinachozidi kidogo tu ile posho ya wajumbe wa bunge la sisiem, watamkubali
Kumkataa pekeee haitoshi ilifaa afukuzwe na kutengwa kabisa, inawezekanaje ashiriki na wapuuzi nayeye akijifanya sio mpuuzi. Aaachane na wapuuzi na aendelee na welevu wake hukohuko dodoma.
anasali wapi siku hizi? au amebadili dini?Kutokana na habari za kuaminika nilizozipata ni kuwa Sitta ameshindwa kuhudhuria ibada katika usharika wake tangu bunge la katiba la ccm limalizike. Hata hivyo, kutokana na chanzo changu cha habari ni kuwa, washarika wamemtuma mchungaji ampelekee ujumbe Sitta kuwa kutokana na vitendo vyake vya kudharau viongozi wa kanisa, Sitta hatakiwi aonekane hapo kanisani
sasa basi mwambie mume wenyu SIX ahudhurie kanisani ili aongee na maaskofu wake wapuuzi na atubiePropaganda za kitoto za kikundi cha UKAWA zinafurahisha sana.
Kama ndivyo hivyo, basi hilo litakuwa siyo Kanisa la Mwenyezi Mungu bali ni club tu kama vilabu vya mambo ya kidunia.
Msingi mkuu wa kanisa la Mungu umesimama katika sababu za ujio wa Kristo Yesu kama ilivyoandikwa ndani ya Biblia. Maneno hayo yanasema,
Kristo Yesu alikuja ulimwenguni kuokoa wenye dhambi (1 Timothy 1:15)
Kama kanisa halitaki mwenye dhambi basi hilo litakuwa siyo kanisa la Mwenyezi Mungu.
Wabongo akilizenu za maji
hao sio wafuasi wa Mungu tunayemwabudu bali wamegeuza kanisa kama mali binafsi.Mungu anasema anayehukumu naye atahukumiwa kwa kipimo kile kile siku ya mwisho, so jinsi unavyomwombea mabaya yule uliyemuhukumu tayari ndivyo Mungu anavyozidisha hasira zake juu yako.alituasa kuwa kazi ya kutenga magugu na ngano safi itakuwa yake siku ya mwisho na ndio maana wengine huwa mnaenda kanisani kusali mkiwa mmetoka kuzini au hata kuua.au unadhani kuwa dhambi yako umetenda sirini basi wewe una haki kuliko yule aliyetenda kadamnasini???waambie hao washarika kuwa kama kweli wameshafanya hivyo basi ni dhahiri kuwa wameshamkaribisha shetani ndani ya hekalu ya Mungu na atawatumikisha apendavyo hadi umauti wao akiwasubiria katika makazi yake ya mateso ya milele.Mwacheni Mungu aitwe Mungu, kama wafuasi wa Yesu tunatakiwa kumwombea na kuacha Mungu atende iliyo haki.Tunaongelea mambo ya chizi S. Sita, washirika anawaita wapuuzi, si atafute washirika wake anaoona sio wapuuzi. huyo ni kirusi katika kanisa la mungu na nigugu katika ngano yafaa angólewe na kuchomwa moto
Nimeongea na mchungaji wa ushirika anasema SIO KWELI NI PROPAGANDA ZA KISIASA HIZO. Kanisa haliwezi kuzuia mkristo kusali.
sio mke ana wake kedekede
Ana wake kila kona halafu anasema ni mkristo , kama sio unafiki ni kitu gani? Mfukuzeni kabisa akija kanisani anakuja kutia nuksi!!
kutokana na habari za kuaminika nilizozipata ni kuwa sitta ameshindwa kuhudhuria ibada katika usharika wake tangu bunge la katiba la ccm limalizike. Hata hivyo, kutokana na chanzo changu cha habari ni kuwa, washarika wamemtuma mchungaji ampelekee ujumbe sitta kuwa kutokana na vitendo vyake vya kudharau viongozi wa kanisa, sitta hatakiwi aonekane hapo kanisani
Kwani hilo kanisa ni la washarika au la mwenyezi Mungu? Mimi nilifikiri ni kama misikiti ambayo inakuwa ni ya mwenyezi Mungu ambamo kila mwislamu aweza sali.Wagalatia mna mambo.